{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148015","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148013","results":[{"id":1498332,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498332/?format=json","text_counter":492,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":" You have two more minutes. Proceed."},{"id":1498333,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498333/?format=json","text_counter":493,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":" Kama alivyosema Mhe. Rindikiri, ni ukweli yeye ni rafiki yangu sana. Tulipanga kwamba akifika Mombasa, atakuja sehemu inayoitwa, ‘Kwa Ndege Ya Bady’. Hata wewe, Mhe. Spika wa Muda, umeingia kwenye ndege yangu. Kwa hivyo, tunawakaribisha watu watakaokuja pale Mombasa. Kwa wakati kama huu, mimi nikiwa Mjumbe, nimemsikia Mhe. Spika Wetangula akisema sisi viongozi wa Mombasa tuwe tayari kuwapokea wenzetu. Tutawapokea wenzetu kwa roho safi. Maneno niliyoyasema hapa Bungeni ni kuteleza kwa mdomo. Lakini sote tunapendana kama kitu kimoja na mkija tutawaonyesha ustaarabu na uungwana wa watu wa Mombasa. Lakini Mhe. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kuunga mkono Mswada huu, lakini upigwe msasa ili sehemu nyingine ziratibiwe ziwe katika hali nzuri. Vile vile, ningependa Mswada huu usiue kujisimamia kwa kaunti na kwa national"},{"id":1498334,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498334/?format=json","text_counter":494,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Government"},{"id":1498335,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498335/?format=json","text_counter":495,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":"ili mambo yachanganywe pamoja. Sheria ya Katiba ya 2010 imepatia sehemu za ugatuzi uwezo wa watakayoyafanya. Kwa hivyo, Mhe Spika wa Muda, nakushukuru sana kwa kunipatia nafasi hii. Vile vile, ninashukuru Mhe. Owen pamoja na kiongozi aliyeleta Mswada huu ili tushirikiane, tuupige msasa na watu walipe ushuru ndio Kenya yetu iende mbele na Broad-Based Government iendelee washikane pamoja. Uchumi ukiwa mzuri, Kenya itaendelea mbele…"},{"id":1498336,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498336/?format=json","text_counter":496,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":" Mhe., nidhamu. Ukianza na Kiswahili, unasema kila kitu kwa Kiswahili. Kwa hivyo, hiyo Broad-Based pia sema kwa Kiswahili. Umepata nusu dakika. I have given you one minute"},{"id":1498337,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498337/?format=json","text_counter":497,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":" Haya. Broad-Based Mhe. Spika wa Muda ni serikali ya kuungana kiupanuzi kwa Pamoja."},{"id":1498338,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498338/?format=json","text_counter":498,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Laughter)"},{"id":1498339,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498339/?format=json","text_counter":499,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":"Kwa upanuzi, Broad Based ni kuona kuwa Serikali yetu inaweza kwenda mbele. Kwa hivyo, tunaipongeza Serikali ya William Ruto na vile vile watu wakilipa ushuru Serikali itaweza kwenda mbele. Ahsante, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii na Members wenzetu wote. Njooni Mombasa tutakuwa tayari. Kwanza Mhe. Spika wa Muda, pole. Kuna kitu sijamaliza."},{"id":1498340,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498340/?format=json","text_counter":500,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Standard Gauge Railway (SGR)"},{"id":1498341,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1498341/?format=json","text_counter":501,"type":"speech","speaker_name":"Jomvu, ODM","speaker_title":"Hon. Bady Twalib","speaker":null,"content":"iko kwangu. Mimi ndio Mjumbe wa sehemu hiyo. Kwa hivyo, nitawawekea sengenya hapo. Nitawaekea ngoma za mchechemko hapo na nitawawekea ngoma ya asili hapo."}]}