{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148416","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148414","results":[{"id":1502342,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502342/?format=json","text_counter":259,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Agnes Mantaine","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Rais pia alizumgumzia suala la usalama. Tunaona Serikali yetu inajitolea kuhakikisha kuna usalama. Lakini kidogo sisi akina mama tunahofia maisha yetu. Hii ni kwa sababu kila mara tunasikia mama, msichana ama nyanya ameuawa. Hatujawahi kupata kiini cha mauaji hayo. Inatuweka huzuni na hofu. Ninawashukuru viongozi wamama ambao walienda ikulu naye Rais akawaahidi atatoa Ksh100 milioni kuhakikisha usalama wa wamama uwepo."},{"id":1502343,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502343/?format=json","text_counter":260,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Agnes Mantaine","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa upande wa chakula, mwaka uliopita, kulikuwa na kilio kikubwa sana kuhusu bei ya chakula, lakini Rais akatuelezea kwamba hatatupa chakula directly. Aliweza kuteremusha bei ya fertiliser na sasa kila mtu ana chakula kwake. Sasa tunaelekea kununua unga kwa Ksh100 kwa pakiti. Hofu yangu ni kwamba kuna barabara za Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) ambazo hatujasikia zikizungumziwa kikamilifu. Hizi barabara zinatuhusu sisi Wabunge wa maeneo ya bunge. Barabara hizi ndizo zinatumika kupitisha chakula tukipeleka soko. Wakulima wakikosa barabara za kutumia kupeleka chakula sokoni, watakua na shida na"},{"id":1502344,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502344/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Agnes Mantaine","speaker_title":"","speaker":null,"content":"The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."},{"id":1502345,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502345/?format=json","text_counter":262,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Agnes Mantaine","speaker_title":"","speaker":null,"content":"hata hawataona faida ya kilimo chao. Hata kusomesha watoto wao itakuwa ni shida. Kwa hivyo, ninaomba Serikali ihakikishe tumepata pesa kwa maeneo yetu ya bunge ili tuhakikishe barabara zinazotengenezwa na KeRRA ziwe nzuri ili watu waweze kusafirisha chakula chao."},{"id":1502346,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502346/?format=json","text_counter":263,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Agnes Mantaine","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa suala la uongozi wa hii nchi, hauwezi toshelesha kila mtu kisiasa. Kutakuwa tu na kelele. Ninampa heko Rais kwa kusimama kidete na kuzungumzia agenda yake vizuri na kuielezea kwa sababu ni lazima watu wataongea. Lakini ningependa kuomba Serikali ihakikishe wamama wana amani. Pia, ihakikishe barabara zimetengenezwa ili zitumike kuwapeleka wagonjwa hospitali. Pia, ninashukuru kwa sababu tutapata maafisa wa kuwasajili watu kwa SHIF. Tutaenda kuhakikisha wananchi wamejisajili ili waweze kupata matibabu na huduma. Hakuna namna tunaweza kusema hawatajisajili."},{"id":1502347,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502347/?format=json","text_counter":264,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"Hon. Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":" Give her a minute; it is not that often that the Member for Narok North has an opportunity. Proceed."},{"id":1502348,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502348/?format=json","text_counter":265,"type":"speech","speaker_name":"Narok North, JP","speaker_title":"Hon. Agnes Mantaine","speaker":{"id":420,"legal_name":"Richard Moitalel ole Kenta","slug":"richard-moitalel-ole-kenta"},"content":" Asante sana. Ninasema ni lazima tuhakikishe watu wetu wamejisajili ili waweze kupata huduma. Ninajua wengine wananicheka kwa sababu Kiswahili si chetu lakini tunajaribu kukizungumza. Asante sana."},{"id":1502349,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502349/?format=json","text_counter":266,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":" I had given opportunity to the Member for Kinangop then, Hon. Emaase, followed by the Member for Sotik, Hon. Ng’elechei. You will all have chance. Do not worry."},{"id":1502350,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502350/?format=json","text_counter":267,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"(Loud consultations)"},{"id":1502351,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502351/?format=json","text_counter":268,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Farah Maalim","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":{"id":16,"legal_name":"Farah Maalim Mohamed","slug":"farah-maalim"},"content":"Order, Hon. Members. Let us continue."}]}