{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148451","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148449","results":[{"id":1502692,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502692/?format=json","text_counter":124,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Than’gwa","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mr. Temporary Speaker, Sir, I know counties need money and it is upon this House to scrutinize how governors are using these monies. Yesterday in the news, we saw that the national Government through the Ministry of Water, Sanitation and Irrigation is forming a taskforce to fight the rats, snails and birds menace in Mwea. Though it might sound funny, this is a huge problem in Mwea. The people of Mwea are suffering because the rice is being eaten by the Quelea birds, snails and rats. I have talked to the Senator for Kirinyaga County and he has given me more information and told me that the one red billed Quelea bird can eat 80 grams of rice every day. If you multiply that by a year, that is about 215 tonnes of rice. If you convert that to money, it means that the Mwea people lose about Kshs32 million every year. However, when you ask the national Government or county governments, they tell you that they are forming a taskforce. Mr. Temporary Speaker, Sir, our Government really likes meetings. They even have a meeting to discuss whether they should have a meeting. The best way to fight this menace in Mwea is by giving counties more resources. Again, I have been told by the Senator for Kirinyaga County that the County Government of Kirinyaga has never budgeted for this menace. It has never put in money to try and reduce this red-billed Quelea birds that are eating the rice. If you do a little bit of research, you will find out how to keep away these birds. You can use an ultra-sonic repellent. It is a small gadget that emits some sound waves that humans cannot hear, but the birds can hear. This sound will disturb the birds and they will run away. That gadget is going for Kshs3,000 but the county government cannot see it fit to budget for such a gadget. We have known even during our primary school times that we have scarecrows. I know that maybe these birds and rats are used to scarecrows, but in these technological times, the county governments should at least give them drones which emit predatory sounds so that the birds can feel like a predator is on the way. We should not reduce the amount of money that goes to counties. We should also ask the governors to prudently use those resources as per the budget estimates, budgeting process and also as per the people’s priorities. I know I am talking about Mwea, but probably this problem is not just unique to Mwea. Maybe this problem is also prevalent in the rice fields in Bura, Ahero, North Kano, or even Lower Kuja in Migori. When the Government says it is going to form a task force to catch a rat, you ask yourself: Do we not have the people who are mandated to deal with these issues instantly? Must you form a task force to discuss the rats, birds, snails or even how to kill them yet they already know how? All I am trying to say is that money should be used well for the intended purpose. We need to give counties more money, so that we can, as a Senate, use our channels and committees to check on how it is used. I oppose this Report. I thank you."},{"id":1502693,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502693/?format=json","text_counter":125,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Madzayo proceed."},{"id":1502694,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502694/?format=json","text_counter":126,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":" Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, ninataka kuwapa kongole wale Maseneta wetu hususan katika Seneti. Haya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502695,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502695/?format=json","text_counter":127,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"yalikuwa ni majadiliano kulingana na vile ambavyo hatukuwa tumeelewana katika ugavi wa pesa zinazoenda kwenye serikali zetu za mashinani. Majabali wetu waliokuwa katika hii Kamati wakiongozwa na Sen. Ali Roba, walikuwa Sen. Sifuna, Sen. Murgor, Sen. Faki, Sen. Veronica Maina, Sen. Onyonka, Sen. Wamatinga, Sen. (Prof.) Tom Ojienda Odhiambo, SC, Sen. Mungatana, na Sen. Oketch Gicheru. Tuliwapeleka majabali hawa ambao walifanya bidii walivyoweza kujadiliana na kupitisha pesa zile. Kulingana na matokeo ya awali tulikuwa tumesema tupeleke Shilingi 400 bilioni kwenye serikali za kaunti 47 zote. Wagawanye taratibu ili kila kaunti ifaidike na zile pesa. Lakini kwa sababu ya sintofahamu tofauti katika Bunge la Kitaifa, walionelea hizi pesa zipunguzwe. Lakini hawa majabali wetu ambao tulichagua hapa walifanya bidii na hatimaye wakafikisha kiwango cha Shilingi 387 bilioni ambacho si kiwango kibaya kulingana na tunavyoelewa kuwa asilimia 15 ndio sheria inaruhusu. Kipengele 96 cha Katiba ya Kenya, kinasema kwamba kazi ya Seneti itakuwa kulinda na kutetea kitita cha pesa ambacho kitapelekwa katika serikali zetu za mashinani. Hii ni kazi muhimu sana katika Bunge hili la Seneti. Hakuna mwaka tutaketi bila kupeleka pesa hizi katika serikali zetu za gatuzi. Lakini ijapokuwa zimepungua, huo ndio wajibu ambao tunataka. Magavana wanafaa kuketi chini na kufikiria jinsi wataweza kutumia hizi pesa ambazo zimepunguzwa ili kuendeleza maendeleo katika serikali zetu za mashinani. Bw. Spika wa Muda, hakuna mtu anayeweza kufaulu kutekeleza maendeleo ikiwa hatapata pesa na ndio maana nasisitiza umuhimu wa kipengele hicho. Nawapatia kongole Maseneta wote kwa kutia bidii kuona kuwa Shilingi 387 bilioni zimetengwa kuenda kwa serikali zetu za mashinani ili kuendeleza maendeleo. Kongole ndugu zangu katika Bunge hili la Seneti. Vile vile, nakubaliana na Ripoti hii ambayo imeundwa kwa taaluma ya hali ya juu. Baada ya pesa hizi kufikia magavana, hawafai kuona kama wao ndio wakubwa ila wanafaa kuelewa kwamba wao ni watumishi wa wale waliowapigia kura. Kwa hivyo, tungetaka utumishi ubainike wazi ya kwamba hizi pesa ambazo tumepeleka katika serikali zetu za mashinani zinatumika kwa hali inayofaa. Tunajua kuna ufujaji wa pesa kwa njia tofauti tofauti lakini pesa hizi zikitumika vyema wale wananchi wa mashinani watafaidika. Hii ndio sababu na umuhimu mkuu wa kupeleka hizi pesa kwenye serikali zetu za mashinani. Ni lazima tuone ya kwamba magavana, maspika wanaohusika kusambaza hizi pesa wamezitumia kwa njia ya nidhamu. Matumizi katika hospitali; tunasema hospitali ni kiwango cha kwanza, maanake katika kaunti, hakuna kaunti itakuwa na mwelekeo mwema ikiwa watu wake wengi watakuwa ni wagonjwa. Tunataka afya za Wakenya wanaoishi nchini ziwe sawa sawa. Jukumu hili sasa limepelekwa katika serikali za mashinani ili kuona ya kwamba wale watu wanaowaongoza katika serikali za mashinani wako na afya njema. Hii ndiyo sababu kubwa tunasema kwamba ni lazima kitengo kikubwa sana cha hizi pesa zinazokwenda katika serikali zetu za mashinani ziende katika hospitali zetu. Pesa hizi zitaweza kutumika kwa kuchukuwa madawa na vifaa ambavyo vinaweza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502696,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502696/?format=json","text_counter":128,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"kuhudumia mtu aliyepata ajali ama mtu anayetaka kulazwa katika vile vyumba ambavyo vinaitwa Intensive Care Unit (ICU) au chumba cha wagongwa mahututi; chumba ambacho mtu anaweza kupata madawa na hatimaye akatoka katika ile hali yake ya kimahututi na akaja akiwa mzima tena na akarudi kwa jamii yake akiwa na afya njema. Tunasema hiyo ndiyo sababu tunasisitiza sana kwamba pesa nyingi zipelekwe kwa hospitali ili wakenya wawe na afya nzuri, nchi itakuwa na maendeleo zaidi. Bw. Spika wa Muda, vile vile kuna hali za mawasiliano. Pesa hizi si za kutumia vile mtu anavyotaka, ila tuone hali za mawasiliano. Barabara zile za mawasiliano zinazokwenda katika vijiji vyetu vya vitongoji tunasema hizo pia zitengenezwe. Hizi pesa ambazo tumezipeleka hivi sasa ziko katika mikono ya magavana ili waweze kuzitumia kuona ya kwamba kutakuwa na barabara njema ya usafiri au hali ya maisha kutoka pointA to point B kwa w ananchi wa Kenya imeimarishwa. Vile vile, inajulikana kwamba uti wa mgongo wa nchi hii ni ukulima. Tunajua kuna wakulima katika sehemu mbali mbali ya nchi hii. Wengine pengine katika sehemu za kaskazini ya Kenya ni watu ambao wanategemea mifugo. Tunasema tuweze kupeana kipaumbele kwa huduma za wale watu wanaotoka maeneo tofauti tofauti. Kama sasa watu wa North Eastern, watu wanaoketi kule wanataka ng’ombe, ngamia na mahitaji fulani fulani. Tunaona ya kwamba lazima gavana wa upande huo atilie mkazo mambo haya. Tukija upande wa kilimo, kuna sehemu tofauti tofauti za Kenya ambako kuna wakulima. Tunataka pia hizi pesa zitakazoenda kwa serikali zetu mashinani, magavana waweze kuzingatia wakulima na kuwapa kipaumbele. Hii itawawezesha kuwa na mashamba yao ambayo wataweka rotuba, fertilizer na mbegu ili wapate chakula kingi. Hakuna nchi ambayo inaweza kufaulu, bila kuhakikisha chakula kinapatikana ili watu waweze kushiba, kufanya kazi kwa bidii ili kuwe na maendeleo. Tunaiita food security . Mara nyingi, tumeona watu waliosimama au wanaopinga na hatuwakatai. Kupinga ni sawa, lakini Ripoti hii imetengenezwa na Kamati. Hii Ripoti ni ya Kamati si ya Rais. Tukiketi hapa kama Maseneta na tukianza sintofahamu ya kwamba tunaongea juu ya taarifa aliyoitoa Rais ya mwaka wa 2024 katika hili Bunge letu, tukiileta hapa na kuifananisha na hii Ripoti, haitakuwa sawa. Tutakuwa tumekosa mwelekeo. Ripoti ya Rais iko kando na Ripoti hii ambayo imetengenezwa na Kamati yetu ya majadiliano katikati ya Mabunge yote mawili. Walikubaliana na hizi pesa na tunaongea habari za pesa zitakazoenda katika serikali za mashinani ili ziweze kusaidia wananchi wa Kenya. Nikimalizia, ningependa kuongea na wafanyikazi wanaofanya katika serikali zetu za mashinani. Wazungu walisema ya kwamba, na uniruhusu nitumie lugha ya kimombo, “ your first client is your employee and a happy worker is a productive worker.” Kitu cha kwanza ambacho magavana wanatakikana kuona ni kwamba wale wafanyikazi ambao wameandikwa ndani ya maofisi zao wameangaliwa. Tunashangaa ya kwamba sasa kuna sababu ndogo ndogo ambazo tunaweza kuziona zikitoka kila mahali katika Kenya kwamba wafanyikazi wamekosa mishahara. Tunasema hakuna anayetaka kufanya kazi na baada ya siku thelathini asione mshahara wake ndani ya mfuko ili aende nyumbani akifurahi, kuweza kulipa karo za watoto wake, kulisha bibi yake na kuwavisha pamoja na watoto ili nyumba ile iwe na raha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502697,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502697/?format=json","text_counter":129,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Tunaona simanzi zinatandaa katika familia tofauti tofauti kwa sababu ukiulizwa unasema mimi sina pesa za kulipa mishahara. Lakini sasa hakutakuwa na sababu ya wafanyikazi wetu wanaofanya kazi katika serikali za mashinani kukosa mishahara yao. Nasema kwamba kipaumbele iwe ni wafanyikazi wenu wanaofanya kazi katika kaunti zote 47 katika Kenya. Hivi sasa pesa ziko. Walipeni mishahara yao. Bw. Spika wa Muda, nataka kumalizia kwa kusema hii Ripoti yetu tuliiandika na kukubaliana nayo. Hii ni kwa sababu ni ripoti ambayo imepeana mwelekeo na imeeleza ni sababu gani tumeweza kukubaliana kuchukua hizi Shilingi 387 bilioni. Tukakubali zile zingine kama shilingi 13 bilioni zipotee lakini hali ilivyo ni kuwa hali ya uchumi nchini si nzuri. Hata hivyo, sisi tunawaombea hao magavana waweze kuketi katika yale maofisi. Waweze kukaa chini, kutafakari na kuona ya kwamba maji yatasambazwa, barabara zitapatikana na mbegu zitapelekwa kwa wakulima, hospitali zitakuwa na madawa na hatimaye pia mishahara ya wafanyikazi katika serikali zetu za mashinani itapatikana kulingana na uwezo na nguvu zao. Wasifanye kazi wakijipiga vifua halafu mishahara isipatikane. Kwa hivyo, tunasisitiza katika hii Ripoti naunga mkono kwa sababu ni ripoti ambayo imetengenezwa na Maseneta wenzetu. Wameileta hapa na sisi tunaona ya kwamba ripoti hii itasaidia vilivyo katika serikali za mashinani. Asante."},{"id":1502698,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502698/?format=json","text_counter":130,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Hon. Senators, we seem to have a problem with the system. The system has hanged. Therefore, I will require all of you to log out and then log in afresh. Please, just log out and then log in, so that we can reboot the system. I do have a list of the speakers. Let us do it again. Can everybody log out and wait for my instructions to log in? Log out. Serjeant-at-Arms, can you assist us in removing the cards, which are in the system? Niko na majina ya watu vile wanafuatana kuzungumza. Very well. Senators, you can now log in. Sen. Mundigi Alexander, please, proceed."},{"id":1502699,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502699/?format=json","text_counter":131,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa niweze kuchangia Ripoti hii kuhusu hela zinazoenda katika kaunti zetu. Naunga mkono Ripoti hii ambayo inaonyesha vile pesa zitaenda mashinani. Ingawa pesa hizi hazitoshi kwa sababu nakumbuka mwaka jana, kaunti zote 47 tulipitisha Shilingi385 bilioni, lakini mwaka huu kabla mambo ya budget tukapitisha Shilingi400 bilioni ambazo tulidhania itasaidia watu mashinani. Walakini, iliporudi huku baaada ya budget kuanguka, National Assembly walisema Kaunti zote 47 watapatiwa Shilingi380 bilioni. Hii ina maana kuwa walipunguza Shilingi bilioni tano. Maseneta nao waliona hiyo haifai na ndio tukaunda Kamati ya Mediation na tukachagua Maseneta tuilioona wanafaa kwenda kwa kikao na wale wa Kamati ya Budget ya National Assembly. Walipokaa, waliongeza kutoka kwa Shilingi380 bilioni mpaka Shilingi385 bilioni. Sasa tunaona ni kama waliongezea Shilingi bilioni mbili ikawa Shilingi 387 bilioni. Kwa hivyo, naunga mkono. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502700,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502700/?format=json","text_counter":132,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ingawa hata hizi pesa hazitoshi, naomba magavana kuwa hizi pesa zitakapokuja mashinani, wajaribu sana pesa nyingi ziende katika agriculture kwa sababu hiyo ndio key ya serilaki na mwananchi na ndiyo kila kitu katika Kenya yetu. Ili agriculture iweze kufanya vizuri, ningeomba kila ward iwe na agricultural"},{"id":1502701,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502701/?format=json","text_counter":133,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"extension officer"}]}