{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148452","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148450","results":[{"id":1502702,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502702/?format=json","text_counter":134,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ili tuone kilimo kitaendealea vipi kwa sababu mvua inanyesha na kuna"},{"id":1502703,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502703/?format=json","text_counter":135,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"problem"},{"id":1502704,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502704/?format=json","text_counter":136,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kutokuwa na agricultural officers. Vile vile, kuna changamoto ya mmomonyoko wa udongo ambapo mchanga unabebwa na maji. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, ningeomba hizi hela zikienda mashinani, kwanza magavana wajaribu kila CountyGovernor aajiri extension officers na pia azingatie mambo ya afya ndio watu wetu wasiwe wagonjwa kwa sababu shida iliyoko mashinani ni ya agriculture na afya. Tatu, wanapswa kuangalia hali ya barabara. Ingawa magavana hawawezi kutengeza barabara kubwa lakini wangejaribu kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara kuwawezesha wakulima kusafirisha mazao yao kwa njia inayofaa. Bw. Spika wa Muda, mambo ya agriculture ina shida sana. Kwa mfano, katika"},{"id":1502705,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502705/?format=json","text_counter":137,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Embu County"},{"id":1502706,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502706/?format=json","text_counter":138,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":", kilimo chetu ni cha majani chai, kahawa, macadamia, maziwa, maembe, miraa na muguka. Ningependa County ya Embu ipate pesa na ipeleke mashinani ili wananchi wapate kilimo vile inafaa.Vile vile, wanafaa watengenezewe water pans ili wajisaidie na zile pesa ya agriculture. Pia, kwa upande wa agriculture, kwa sababu hizi pesa hazitoshi, serikali kuu inafaa kuangalia mahitaji ya counties. Kila kunti itengenezewe dam kubwa. Kwa mfano, katika Embu County, tunajua wametuahidi watatungenezea Kamumu Dam ambayo itasaidia Mbeere North na Thambana Dam ambayo itasaidia Mbeere South na Manyatta. Ningeomba pia pesa ambazo zimebaki serikali kuu juu ya kuinua kilimo, watengenezee watu wa Embu County dam ili kilimo ya Embu County na economy imairike. Tukifanya hivyo, watu watafanya kazi inayofaa na tutapata mazao mazuri na pia economy ya Embu County juu ya ushuru itaenda juu na serikali ya Kenya--- Ningeomba pia serikali kuu itusaidie wakati tunapata mazao. Wakati mwingine, tunalima sana lakini huenda ikawa hakuna mahali tutaweza kuuza mazao yetu. Serikali itusaidie kutafuta soko hata kama ni za ng’ambo ili tupate mahali tutakapouza mazao yetu kama vile miraa au muguka. Jambo lingene ningeomba serikali ya county ni kuhusu mambo ya afya. Pesa nyiingi zinafaa kuenda kwa hospitali zetu za counties haswa tunajua health promoters wanafanya kazi nzuri. Nakumbuka katika ile budget iliyoanguka tulikuwa tumeongeza pesa lakini tulisikia karibu wakose kulipwa mishahara. Hili ni jambo la aibu sana kwa sababu Serikali ya Kenya Kwanza ilipoingia iliangalia watu hawa. Kwa kipindi ya miaka mingi, hawakuwa wanalipwa lakini sasa wakasema serikali kuu itatoa 50 per cent na"},{"id":1502707,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502707/?format=json","text_counter":139,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"County 50 per cent"},{"id":1502708,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502708/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":", na tutafurahi sana. Kwa hivyo, ningeomba magavana wafuatilie hao watu kwa sababu wako mashinani, eti mtoto akizaliwa wameanza kuchukua ripoti zao na akina mama wazee walioko nyumbani, ili miaka ijayo kuwe na mipangilio ya magonjwa yote ya binadamu. Kwa hivyo, naunga mkono Ripoti hii. Kwa upande wa hospitali, hizi pesa hazitoshi. Ningeomba serikali kuu isaidie serikali za kaunti ili hospitali kubwa zipate madawa na kutengenezwa ziwe Level 4 na"},{"id":1502709,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502709/?format=json","text_counter":141,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Level 5"},{"id":1502710,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502710/?format=json","text_counter":142,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ili magonjwa kama cancer an mengineo yakabiliwe. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502711,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502711/?format=json","text_counter":143,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kuna watu wanaolipwa na mishahara na county na pia kuna madaktari ambao wanalipwa na national Government . Naomba n ational Government ipeleke pesa zilizosalia mashinani. Jambo lingine ambalo litawezakusaida kaunti zetu ni kuwa kila kaunti kuna pesa ambazo zimetoka nchi za ng’ambo ili kusaidia upandaji wa miti juu ya climate change ."}]}