{"count":1608389,"next":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148457","previous":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/?format=json&page=148455","results":[{"id":1502752,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502752/?format=json","text_counter":184,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"recurrent"},{"id":1502753,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502753/?format=json","text_counter":185,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":13592,"legal_name":"Onyonka Richard Momoima","slug":"onyonka-richard-momoima"},"content":"na development budgets. Magavana wanafunga watu hao wasilipwe, halafu wanaleta kampuni ambazo wanataka. Wanaleta watu wanaojua na jamaa wao kupewa kandarasi na kuwalipa na kuacha waliofanya kazi miaka mitatu, minne au mitano iliyopita. Shida iliyo Kenya ni hiyo. Kuna maendeleo ambayo tunazungumzia. Katiba yetu ya 2010 ilinuia kuleta usawa katika nchi yetu. Ilinuia kuondoa ufisadi katika maendeleo ya Wakenya, ili tuweze kumaliza umaskini nchini mwetu. Kwa sasa, Serikali ya Kitaifa inachukua asilimia 85 na kupora na kuwapa magava asilimia 15 iliyosalia ambayo pia wanapora. Jiulize ni kina nani wana majumba makubwa kule Kilimani. Magavana wengine wanadhani kuwa wananchi ni wajinga. Wanaiba pesa na kujenga supermarkets, huku wananchi wanawaona. Si vibaya wananchi kujua majengo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502754,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502754/?format=json","text_counter":186,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":13592,"legal_name":"Onyonka Richard Momoima","slug":"onyonka-richard-momoima"},"content":"wanayomiliki, lakini hatuwezi kuwa na huruma kwa watu wetu? Ni zaidi ya miaka 60 tangu tupate Uhuru, lakini watu wengine hawana maji ya kunywa. Tulikwenda kule Turkana ambako anatoka Sen. Lomenen. Kufikia sasa, Turkana imepata shilingi bilioni 110, ilhali watu hawana maji ya kunywa mijini baada ya miaka kumi tangu kuwa na ugatuzi. Ni kinaya kuwa hali ni hiyo ilhali kuna maji mengi kutoka Mto Turkwel. Kinachotakikana ni maji kusambazwa kwa wananchi. Wamepata shilingi bilioni 110, ilhali watu hawana maji! Kwa miaka miwili sasa, Kaunti yangu ya Kisii imepata shilingi bilioni 32. Hata hivyo, ukienda kule hamna chochote. Uwanja wa Michezo wa Kisii haujatengenezwa na hakuna dawa katika hosipitali za Kisii na maji. Gavana anasema kuwa own sourcerevenue imeongezeka hadi asilimia 75 na sasa wanatarajia shilingi milioni 800. Wanafuja"},{"id":1502755,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502755/?format=json","text_counter":187,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"own source revenue"},{"id":1502756,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502756/?format=json","text_counter":188,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Onyonka","speaker_title":"","speaker":{"id":13592,"legal_name":"Onyonka Richard Momoima","slug":"onyonka-richard-momoima"},"content":"kutoka kwa hospitali ndogo ndogo na kubwa kubwa kwa sababu wananchi hawana njia nyingine. Gavana wa Murang’a amefanya kazi nzuri. Anatumia teknolojia kukusanya ushuru kutoka kwa wale ambao wanajenga ama wana nyumba na wale ambao wana-park magari huko. Aliongeza mapato yake kutoka shilingi milioni 200 mwaka uliopita hadi shilingi bilioni 1.5. Sababu ni kuwa wale walio katika kamati ya maendeleo ni vigogo ambao wamekuwa wakifanya biashara kama vile mmiliki wa Benki ya Equity. Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii."},{"id":1502757,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502757/?format=json","text_counter":189,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Sen. Onyonka, this debate shall resume in the afternoon. You will have a remainder of eight minutes."},{"id":1502758,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502758/?format=json","text_counter":190,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"ADJOURNMENT The Temporary Speaker","speaker":null,"content":" Hon. Senators, it is now 1.00 p.m., time to adjourn the Senate. The Senate, therefore, stands adjourned until today, Wednesday, 27th November, 2024, at 2.30 p.m."},{"id":1502759,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502759/?format=json","text_counter":191,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"ADJOURNMENT The Temporary Speaker","speaker":null,"content":"The Senate rose at 1.00 p.m."},{"id":1502760,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502760/?format=json","text_counter":192,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Abdul Haji","speaker_title":"ADJOURNMENT The Temporary Speaker","speaker":null,"content":"The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."},{"id":1502761,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1502761/?format=json","text_counter":1,"type":"heading","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"REPUBLIC OF KENYA"}]}