8 Feb 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Feb 2022 in Senate:
Nakubaliana na baadhi ya Maseneta wenzangu. Ni vizuri Maseneta wengine wajumuishwe ili wajue jinsi Kamati hii inavyoendesha shughuli zake. Tunafaa kuendelea mbele na shughuli zetu. Ni Kamati hii ambayo inahusika pakubwa katika shughuli zetu za Bunge. Bw. Spika, ninaunga mkono Hoja hii na kuwasihi wale ambao watateuliwa mwakani kuja hapa Bungeni, pengine mpangilio huo utazingatiwa ili kila mtu ajumuishwe katika Kamati mbalimbali. Hii ndio njia pekee ambapo wengi wetu watapata uzoefu na tajiriba jinsi Kamati zetu zinaendesha shughuli zao hapa Bungeni. Ninaunga mkono Hoja hii na nawapongeza wale walioteuliwa kwa sababu najua ni watu waliobombea na watu ambao wanaweza---
view
8 Feb 2022 in Senate:
Bw. Spika, Sen. Orengo ananikanganya kwa sababu nimemsikia akitaja kiti cha ufalme. Sikujua tuna kiti cha ufalme katika Bunge hili. Ni mara yangu ya kwanza kusikia juu ya kiti hicho, lakini ni vizuri vile ambavyo ameniarifu. Vile nilikuwa nikimaanisha ni vizuri kujumuisha Maseneta wale wengine ili waweze kuwa na uzoefu wa kuendesha shughuli za Bunge. Mimi sipingi Hoja hii. Sisemi ya kuwa Sen. Olekina si mjuzi, si mtu aliyebombea katika kazi yake; si mtu ambaye haelewi kazi yake; ni mtu ambaye anaifahamu kazi yake vilivyo. Nilisema ni vizuri wengine wahusishwe, sisemi wale walioko hawafanyi kazi yao vizuri. Ninaunga mkono. Asante, ...
view
27 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, we are in the Committee of the Whole for Order Nos. 8, 9, 10, and 11 for Division. I would like the Whips to confirm the numbers. As they do so, let the Division Bell be rung for 10 minutes.
view
27 Jan 2022 in Senate:
I order that the Division Bell to be rung for another five minutes.
view
27 Jan 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
27 Jan 2022 in Senate:
Order, Senators. We will not progress to Division because we do not have the requisite numbers. Therefore, I call upon the Mover to report progress.
view
27 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, we are having challenges raising numbers. Therefore, I defer Orders No. 9, 10 and 11.
view
27 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, having deferred some of the business on the Order Paper, it is now time to adjourn the House. The Senate, therefore, stands adjourned until Tuesday 8th February, 2022, at 2:30 p.m.
view
27 Jan 2022 in Senate:
The Senate rose at 3.07 p.m.
view