11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Members, I will now start giving the results of the Divisions starting with the County Hall of Fame Bill.
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, the results of the Division are as follows-
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Spika!
view
11 Jan 2022 in Senate:
Asante kwa kunipa fursa hii. Asubuhi tulipokuwa tukizungumza, nakumbuka Seneta kutoka Kaunti ya Kisumu, Sen. Nyamunga, alisema ni kama kuna mapendeleo. Mimi nimeketi hapa na ninaona sasa mapendeleo yamepinduka, Bw. Spika.
view
11 Jan 2022 in Senate:
Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nataka kumpomgeza Seneta Shiyonga kwa Mswada huu wa marekebisho ya sheria ya KEMSA. Kwa kweli umekuja wakati unaofaa kwa sababu ukitembelea KEMSA, utapata kuwa hata dawa ambazo wako nazo ni asilimia 60 pekee yake. Kwa hivyo, kaunti zetu zikijaribu kuagiza dawa unapata dawa nyingi hazipo. Kisheria, ni vigumu kwa kaunti zetu kununua dawa kutoka mahali pengine. Ukitembelea hospitali zetu kwa mfano Hospitali kuu ya Nanyuki au Nyahururu, unapata kuwa hakuna dawa. Unapata watu wanaishi maisha ya uchochole kwa sababu ya ukosefu wa dawa. Tungependa dawa zipatikane kwa bei nafuu katika hospitali ...
view
11 Jan 2022 in Senate:
dawa katika hospitali zetu kwa bei nafuu kwa sababu kaunti zilinunua dawa hizi kwa bei nafuu. Kwa hivyo, naunga mkono. Jambo lingine ambalo ningependa kusema ni kwamba ikiwa afya imeletwa katika gatuzi zetu, inapaswa hata KEMSA yenyewe iweze kuletwa katika gatuzi zetu. Hii ni kwa sababu utapata mtu anasafiri kutoka Rumuruti kuja kununua dawa Nairobi. Hii inachukua muda mrefu sana. Haya marekebisho yamekuja wakati unaofaa kusaidia kaunti zetu. Kaunti zetu zitanufaika ikiwa Mswada huu utapitishwa na mimi nitauunga mkono ili tuweze kuupitisha. Ukitembelea KEMSA, unapata dawa zilizoko huko zimekaa sana kwa sababu kuna taratibu nyingi ambazo zinazingatiwa ili dawa ziweze ...
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, the results of the Division are as follows-
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, next is the Kenya Citizenship and Immigration (Amendment) Bill (Senate Bills No.33 of 2021).
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, the results of the Division are as follows-
view
11 Jan 2022 in Senate:
Hon. Senators, the next Bill is the Kenya Sign Language Bill (Senate Bills No.5 of 2021). The results are as follows-
view