GET /api/v0.1/hansard/entries/239778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 239778,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239778/?format=api",
    "text_counter": 15,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Ahsante sana, Bw. Spika. Vitendo vya vyombo vya usalama kutoka nje, haswa kutoka Marekani na Israel kuwateka nyara, kuwakamata, kuwahoji na kuwatesa Wakenya, haswa watu wa pwani, ni swala nyeti na linaendelea kila wakati. Hata wengine wanapelekwa nje ya nchi hii! Je, Serikali hii inaweza kuwahakikishia Wakenya usalama kutoka kwa vyombo vya ujasusi kutoka nchi za nje?"
}