GET /api/v0.1/hansard/entries/239779/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 239779,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239779/?format=api",
    "text_counter": 16,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kingi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 27,
        "legal_name": "Amason Jeffah Kingi",
        "slug": "amason-kingi"
    },
    "content": "Bw. Spika, wakati wowote kunapoonekana kuna umuhimu wa wenzetu kufanya uchunguzi katika taifa hili, wanashirikiana pamoja na askari wetu. Hakuna wakati ambapo wanafanya vitendo hivyo wakiwa peke yao. Ikiwa kuna wakati wowote Mkenya yeyote amepata mateso katika mikono ya wageni hao, haswa wakati ambapo askari wetu hawapo, tukipewa habari---"
}