GET /api/v0.1/hansard/entries/542989/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 542989,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/542989/?format=api",
"text_counter": 48,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chanzu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 11,
"legal_name": "Yusuf Kifuma Chanzu",
"slug": "yusuf-chanzu"
},
"content": "Ninampongeza Mheshimiwa Joyce Wanjalah kwa kuleta Hoja hii. Kenya ni nchi ambayo iko na makabila 42 na mikakati ambayo tumeweka kila wakati haijanufaisha umoja wa Wakenya, lakini tukiwa na lugha ambayo inaweza kuzungumzwa kutoka sehemu zote ni njia moja ambayo inaweza kutusaidia kuweka Wakenya pamoja. Kwa hivyo, iwe ni lazima kwa shule zetu kufunza kwa lugha ya Kiswahili. Vile vile, Kiswahili kifunzwe katika vyuo vya uwalimu ili tuwe na walimu ambao wanaweza kufunza Kiswahili. Kila mikutano ya kisiasa na kokote tuendapo tuwe tukiongea lugha ya Kiswahili ndipo tudumishe lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, ninampongeza Mheshimiwa Joyce Lay."
}