GET /api/v0.1/hansard/entries/574833/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 574833,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/574833/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2715,
"legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
"slug": "esther-nyambura-gathogo"
},
"content": "Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Nami pia ninataka kuchangia. Ninamshukuru Mheshimiwa kwa kuleta Ripoti hii Bungeni. Kama vile Mheshimiwa mwenzangu amesema, tumezoea kuangalia kitu kwa njia moja na sio kwa njia nyingine. Tunaangalia nani tutamchafulia jina na nani ataanguka katika njia ile ambayo anapitia lakini hatuangalii tumefaidika namna gani. Wakati mambo haya yalitokea hapa Bungeni na hata nchini mwetu, hata waheshimiwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}