GET /api/v0.1/hansard/entries/575520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 575520,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/575520/?format=api",
"text_counter": 343,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nasimama kuunga mkono hii sheria ambayo itabadilisha mjadala huu kwa sababu ni muhimu sana. Watu wengi wameumia kwa miaka mingi. Kwa hivyo ninaunga mkono kwa kusema marekebisho haya ni ya maana na ninamshukuru mwenye kuipendekeza. Wananchi wameumia hata sisi tumekuwa kwa kampuni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}