GET /api/v0.1/hansard/entries/608164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 608164,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/608164/?format=api",
"text_counter": 349,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kuchukua hatua ili mtambo ule uregeshwe katika mikono ya watu wa Kaunti ya Kilifi. Ikiwa tutaweza kushughulika zaidi, kuona ya kwamba huu mmea wa viazi umeweza kusaidia watu wa Laikipia ama watu wa Kenya kuondoa baa la njaa na kuinua uchumi, pia sisi tunasema ya kwamba mtambo ule na mmea huu wa korosho uzingatiwe zaidi na Serikali ili kuona ya kwamba ule mtambo umeregeshwa na Serikali ya Jubilee kwa mikono ya watu wa Kaunti ya Kilifi Asante, Bw. Spika."
}