GET /api/v0.1/hansard/entries/627576/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627576,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627576/?format=api",
"text_counter": 124,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1022,
"legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
"slug": "joyce-wanjalah-lay"
},
"content": "Nikimalizia, kunao watu ambao wanakuja kuwekeza kwa mfano viwandani. Ni vizuri wananchi waweze kuelezewa madhara ya kazi hiyo ambayo huyo kama ni mbwenyenye amekuja kufanya. Hii ni kwa sababu tukiwa na uwazi utapata kwamba kukiwa na hatari yoyote ni vizuri hawa wananchi waweze kuelezwa na wao wenyewe wapate nafasi ya kuweza kuamua ni sawa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}