GET /api/v0.1/hansard/entries/635311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 635311,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/635311/?format=api",
    "text_counter": 306,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nina uthibitisho kamili. Wiki iliyopita, watu walikuwa na maandamano nami niliunga mkono kuwa maandamano hayo yalikuwa ya haki kwa sababu hawafai kupokonywa kitu ambacho walipewa miaka 15 iliyopita. Vile vile, niliwachukuwa na kuwapeleka kwa Kamishna wa Kaunti. Yeye mwenyewe alithibitisha kuwa karatasi zenyewe zilikuwa wakati wa serikali hiyo."
}