GET /api/v0.1/hansard/entries/638146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 638146,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/638146/?format=api",
"text_counter": 643,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, tulikuwa tunazungumza kuhusu vitambulisho. Namshukuru Mheshimiwa Chris Wamalwa kwa sababu watoto kutoka eneo letu, haswa la Trans Nzoia, wako na shida sana. Tumeongea kuhusu mambo ya walemavu. Hao walemavu pia hawapati nafasi ya kupata vitambulisho. Tukiwa na ofisi kule mashinani, itatusaidia sana ili watu wapate vitambulisho kwa muda unaofaa. Tuna pesa ambazo tumepewa kama akina mama. Akina mama wenzetu hawapati pesa hizo kwa sababu hawana vitambulisho. Vitambulisho vikipeanwa kule mashinani, vitawezesha watu hao kupata nafasi na pia kula “keki” ya nchi hii."
}