GET /api/v0.1/hansard/entries/640073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 640073,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640073/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Maradhi ya saratani ni sugu sana. Ni maradhi ambayo yamechukuwa maisha ya Wakenya wetu wengi, hasa akina mama kupitia saratani ya matiti na ya kizazi. Pia kwa wanaume, saratani ya kibofu imekuwa mbaya sana na imewapoteza akina baba wetu. Pia, vile vile, watoto wetu wengi wameweza kuangamia na kupoteza maisha yao kupitia saratani ya damu."
}