GET /api/v0.1/hansard/entries/640076/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 640076,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/640076/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": ". Ikiwa Serikali ingeweza kusambasa huduma kama hizo kwa hospitali za kaunti pale mashinani, basi hata wagonjwa hao wangeweza kupata afueni. Itakuwa vizuri kuliko kuwalazimu kusafiri hadi Hospitali ya Kenyatta ama kufanya Harambee kuchangisha fedha nyingi ili kwenda nchi za nje kutibu maradhi hayo."
}