GET /api/v0.1/hansard/entries/675637/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675637,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675637/?format=api",
"text_counter": 160,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Kamati hii naiona ni ya wasomi kwa maana wengi wao ni wana sheria. Nina imani kwa sababu itakuwa ikiangalia mswala kadhaa ya sheria. Kama, ujuavyo sheria inavipengele vyake ambavyo mtu asipo vitafsiri vizuri vinaweza kutuletea sisi Wabunge shida. Tumejaribu tuwezavyo na ni ombi langu kuwa kamati hii itaendelea na kazi yake mahali ilipokuwa imefikisha. Hivi sasa kuna kazi muhimu ya kuangalia mambo ambayo yasipoangalia vizuri yanaweza kuelekeza nchi hii vibaya."
}