GET /api/v0.1/hansard/entries/675885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675885,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675885/?format=api",
"text_counter": 408,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "Wabunge wengine walikuwa na shauku kuwa jambo hilo haliko sawa katika sheria za Bunge. Lakini litakaporudi hapa wakati wa pili, tunajua litajadiliwa. Ikiwa ni jambo ambalo litahitaji kupitishwa, itakuwa ni wakati wao wa kuzungumza yaliyo ndani yao. Kwa hayo yote, nashukuru."
}