GET /api/v0.1/hansard/entries/680593/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680593,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680593/?format=api",
    "text_counter": 473,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika, ukitazama Ripoti hii ambayo imefanywa na Kamati ya Pamoja, utazingatia kwamba wamebainisha wasiwasi majukumu ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi na Wizara ya Ardhi. Kwa wakati uliopita, tumeshuhudia mizozo kati ya hizi idara mbili ambayo imeathiri utendakazi wao. Kwa hivyo, kupitia Ripoti iliyo mbele yetu, ni matumaini yangu makubwa kuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}