GET /api/v0.1/hansard/entries/680595/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680595,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680595/?format=api",
    "text_counter": 475,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13134,
        "legal_name": "Sara Paulata Korere",
        "slug": "sara-paulata-korere"
    },
    "content": "Katika Kipengele cha 3, wamejumuisha serikali za kaunti katika kutatua maswala ya ardhi. Baadhi ya dhuluma ambazo jamii zimeshuhudia kwa wakati uliopita katika unyakuzi wa ardhi, utakuta watu wachache, ambao ni mabwenyenye na wanajulikana kuwa na sifa mbaya za unyakuzi, wanaketi katika ofisi kubwa hapa Nairobi na kuchora vile watakavyonyakua ardhi ya wananchi ambao hawana habari kuhusu yanayoendelea."
}