GET /api/v0.1/hansard/entries/680596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 680596,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680596/?format=api",
"text_counter": 476,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Kwa hivyo, tukizingatia kwamba ardhi nyingi ambazo labda hazijafanyiwa chochote ni ardhi za jamii, serikali za kaunti zinafaa kuhakikisha kuwa jamii ambazo zinamiliki ardhi hizi hazijapokonywa ardhi zao kupitia mlango wa nyuma na mabwenyenye."
}