GET /api/v0.1/hansard/entries/680612/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 680612,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680612/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Asante, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa nafasi ya kuchangia Hoja hii. Nakushukuru zaidi kwa sababu hapo awali, vile vile, ulinipa nafasi ya kuchangia mambo haya ya ardhi. Naunga mkono Ripoti hii nzuri na kuipongeza Kamati ya Pamoja ya Uwiano kwa kufanya kazi nzuri. Ningependa kumpongeza Mwenyekiti wetu wa Kamati ya Ardhi, Mhe. Mwiru, kwa kazi nzuri. Kama Mbunge wa Eneo Bunge la Jomvu, sehemu ya Pwani ina shida nyingi ya maswala ya ardhi na nimeona juhudi yake. Kulingana na Ripoti hii, nimemsikia akizungumzia mikataba ya kupangisha, yakikaribia kuisha ni muhimu kwa wale wanaohusika kujulishwa miaka mitano kabla, ili wajue namna ya kuzirudisha kwa uhalali na kuhakikisha The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}