GET /api/v0.1/hansard/entries/680614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 680614,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/680614/?format=api",
"text_counter": 494,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Ningependa kusema kuwa ni muhimu tuipatie Kamati hii nguvu na tuichukue Ripoti hii kwa vifua vyetu ili tuelimishe wananchi walio mashinani kuhusu sheria ambayo tumepitisha na kuwaeleza haki zao. Ni sharti tuunge mkono Kamati hii ili tukimbie pamoja panapo matatizo na wananchi wetu watakuwa sawa. Kwa niaba ya wananchi wangu wa eneo Bunge la Jomvu, ningependa kurudisha shukrani na pongezi kwa juhudi za Kamati ya Ardhi kwa kazi nzuri iliyofanya katika eneo Bunge langu na sio tu kwa kuzungumza hapa Nairobi, lakini kwa kuzunguka eneo lote."
}