GET /api/v0.1/hansard/entries/685756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 685756,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/685756/?format=api",
    "text_counter": 389,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Amolo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 631,
        "legal_name": "Rachel Ameso Amolo",
        "slug": "rachel-ameso-amolo"
    },
    "content": "Ahsante Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuwapa shangwe Wakenya ambao walihudhuria michezo ya Olimpiki katika nchi ya Brazil. Tunasema asanteni sana na pongezi kwa kazi nzuri mliyofanya. Sisi kama wanaspoti katika Bunge letu la Kitaifa la Kenya na nikiwa Mwenyekiti katika ule mchezo wa voliboli, tunasema pongezi sana. Tunaoimba Serikali yetu iiangalie mambo ya wachezaji wanapoenda kutuwakilisha katika zile nchi za mbali. Ni vizuri tuangalia hali yao, vile watakaa kule wanaenda na vile watarudi baada ya kuhudhuria hiyo michezo ili walete sifa katika nchi yetu."
}