GET /api/v0.1/hansard/entries/691127/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 691127,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/691127/?format=api",
"text_counter": 195,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Mimi ningeomba watoe orodha ya zile kazi wamewapatia watu. Ikiwa Nanyuki, Laikipia na Isiolo wamefaidika, Samburu hatujui wameandika watu kazi gani. Hiyo ni kwa sababau kandarasi si kazi. Watu wanapewa kandarasi halafu wanaiita kazi ilhali hiyo ni kandarasi ya siku mbili au tatu. Kwa hivyo, hii sheria ikitengenezwa, iangaliwe zaidi ajali zinazowakumba watu wanaoishi pale. Sisi tunajua wameishi upande wa Samburu Mashariki kwa muda mrefu. Kwa hivyo,hiyo sheria iangaliwe vizuri na wananchi wale wanaishi huko, ijulikana kile wanafaidika nacho."
}