GET /api/v0.1/hansard/entries/694596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 694596,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/694596/?format=api",
    "text_counter": 727,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "September 14th, 2016 SENATE DEBATES 60 Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, swali langu ni kwamba shitaka la pili limetegemea ripoti iliyotoka kwa Msimamizi wa Bajeti. Shitaka hili la pili linahusu matumizi ya Kshs70 million kinyume na vile ilivyokusudiwa. Katika ripoti hiyo, Msimamizi wa Bajeti amesema kwamba Kshs70 million, kwa mujibu wa jinsi nilivyomwelewa, hazikutumika bali ilikuwa ni"
}