GET /api/v0.1/hansard/entries/716878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 716878,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/716878/?format=api",
    "text_counter": 710,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Mwenyekiti kuna msemo usemao, “Akataye mti haketi upande ule ambao utaanguka.” Ni jambo la kusikitisha hivi leo tukiona ya kwamba kitanzi kiko. Kamba imewekwa pale, unapanda juu, unavuruta kamba mwenyewe, unajinyonga ukiona kabisa kwamba wewe unaenda kunyongwa ijapokuwa mimi naweza kuunga mkono hapa lakini nafikiri tungetafakari hiyo na kuangalia kama hiyo tunayoifanya hivi sasa ni sawa ama si sawa. Kwa maoni yangu, si sawa."
}