GET /api/v0.1/hansard/entries/734549/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 734549,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/734549/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, siwezi kufahamu. Nafikiri naibu wangu alikuwa katika Seneti wakati huo. Kwa uwezo wa Kanuni za Bunge, unaweza kumpa nafasi ili aendelee kujibu lakini ikiwa jibu halijapatikana, basi tunaomba ule muda nilikuwa nimesema tunahitaji ili tuweze kulijibu."
}