GET /api/v0.1/hansard/entries/736557/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 736557,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/736557/?format=api",
    "text_counter": 190,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": "Nashukuru Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii na pia nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kurudi hapa. Tulikua na muda mzito sana lakini Mwenyezi Mungu ametuwezesha kurudi. Ni jambo nzuri ujiweke kwa Mwenyezi Mungu na tujadiliane vile mambo yalivyo mbele yetu na tusipige kelele. Mtoto anaweza kupiga kelele na hajui kuzungumza na unashindwa anataka nini. Ni peremende, unga ama ni nini anataka? Lazima mtu aanze kuongea ndio tuweze kujua. Hatukukuja hapa kuzungumza mambo ya Rais ama Raila. Tumekuja kuzungumza yale mambo yaliyo mbele yetu. Kuna watu wanasema eti Rais ameshindwa. Si Rais. Hatujaona Upinzani ukileta Mswada wowote ambao unaongea juu ya mambo wanayozungumzia. Waseme tumeleta Mswada unaohusu jambo hili na hili. Hakuna. Tunawahitaji sana wasaidie kukosoa na wasaidie kuleta Mswada utakaosaidia. Ni muhimu sana. Kama hawawezi kuleta hiyo, ni kelele tu. Nashangaa mmoja ni rafiki yangu. Nashangaa kwa sababu Wabunge huelewa kwamba tuko hapa kutetea nchi hii. Ninaona wengine kwa sababu wameruka kutoka Jubilee na kuenda upande wa Upinzani, na ni watu wanahitaji kujua msimamo wao, wanaanza kuzungumza mambo ya kushangaza. Pengine wangekua Bishops lakini mtu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}