GET /api/v0.1/hansard/entries/805305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 805305,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/805305/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninaunga mkono kitengo cha huduma ya vijana. Pesa hizi ni nyingi na zinasaidia watoto wetu. Tungepewa pesa hizi kama wawakilishi wa wanawake kwa sababu sisi pia ni sehemu ya Bajeti ya Serikali kuliko zile pesa zingine kidogo tungeongezewa. Wale vijana ambao wanaandikwa katika huduma ya vijana hawapati kazi baada ya kutoka huko. Hii pesa itasaidia vijana wakitoka NYS kuajiriwa kama polisi ili wafanye kazi kuliko kwenda mafundisho kisha wanabaki barabarani bila kazi."
}