GET /api/v0.1/hansard/entries/806078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 806078,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806078/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe rambirambi zangu kwa familia ya mwenda zake, haswa kwa mjane, watoto, jamii yote ya Kaunti ya Migori, marafiki na watu wote wa Nyanza kwa jumla. Nilimwona Sen. Ben Oluoch wiki tatu zilizopita akiwa kwa hali mbaya lakini tulitumaini kwamba ndugu yetu atarudi katika Bunge la Seneti aweze kutusaidia kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}