GET /api/v0.1/hansard/entries/806115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 806115,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806115/?format=api",
    "text_counter": 178,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Naibu Spika. Kama nilivyokuwa nikisema hapo awali, ni lazima Serikali yetu ijukumike ili kuhakikisha kwamba malipo haya yamefanyika. Lakini bado uchunguzi utafanywa na kamati yetu, ikiwa itawezekana, na waje na recommendations, lakini mimi nayaangalia mambo haya kama jaji katika mahakama ya wafanyi kazi. Ni jambo la kisikitisha katika Kenya hivi leo, tukiona ya kwamba Serikali yenyewe ndiyo inachukua mkondo wa kwanza kukataa kutii amri ya korti. Asante, Bw. Naibu Spika."
}