GET /api/v0.1/hansard/entries/806477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 806477,
"url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/806477/?format=api",
"text_counter": 217,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwa miaka mingi inayokuja kwa sababu viwanda vyetu havijakuwa na uwezo wa kusiaga sukari ya kutosha ili kuwafaidi wananchi wa Kenya. Uagizaji wa sukari kutoka nje ni njia moj aambayo mabwanyenye wanajipatia fedha za urahisi kwa sababu sukari nyingi inayoletwa kutoka nchi za nje hailipiwi ushuru sawa sawa. Ndiyo maana wanaweza kuuza sukari kwa bei ya chini na sukari ya hapa nchini inauzwa kwa bei ya juu. Bw. Spika, hatuwezi kukosa kulaumu viwanda vya sukari kwa sababu kuna vingine ambavyo vimewahi kuleta sukari kutoka nje, wakaiweka katika mifuko yao ili kuiuza kama sukari ambayo imetengenezwa hapa nchini."
}