GET /api/v0.1/hansard/entries/816778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 816778,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/816778/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kinango, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Benjamin Tayari",
    "speaker": {
        "id": 13379,
        "legal_name": "Benjamin Dalu Stephen Tayari",
        "slug": "benjamin-dalu-stephen-tayari-2"
    },
    "content": "Katika eneo la Pwani, mmea wa korosho unafanya vizuri sana. Pia, ningependa kusema kwamba si mbegu peke yake. Katika mikanda mingine, ikifika wakati wa kilimo kama ni mahindi ama kahawa, wanapatiwa mbolea. Pia, katika huu ukuzaji wa korosho ni lazima watu wa Pwani wapewe vifaa ambavyo vitasaidia katika ukuzaji wa korosho."
}