GET /api/v0.1/hansard/entries/819218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 819218,
    "url": "http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/819218/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Haya, tumekusikia lakini tumpe Mhe. Ali Wario fursa achangie mjadala. Kuna wengine nawasikia wakisema “hapana” au wakipinga. Msijaribu kukataa sana kwa sababu wengine mmekuta wengi sana hapa. Mfano ni saa ile Mhe. Keynan amekuja. Amekuta watu wengi hapa wakiwemo Mhe. Chris Omulele, Mhe. Bunyasi Sakwa, Mhe. Gogo, Mhe. Olago Aluoch, Mhe. Pukose, Mhe. Jeniffer Shamallah, Mhe. Sankok na Mhe. Kevin Wanyonyi. Wote hao walikuja mbele ya Mhe Keynan. Mhe. Keynan ameingia sasa hivi. Ninamuona akirukaruka kidogo na kuinukainuka. Hata hivyo,ningemuuliza asubiri. Kama atapata nafasi ya kuchangia, labda ni baada ya watu 50 hivi."
}