Ali Wario

Parties & Coalitions

Born

5th May 1970

Post

P. O. Box 10 Bura, Tana

Email

warioali@yahoo.com

Telephone

0721398361

Telephone

0725206089

All parliamentary appearances

Entries 591 to 600 of 612.

  • 13 Jul 2006 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia fursa hii ili nichangie sera hii iliyo mbele yetu. Nampongeza Waziri ambaye aliamua kuleta mwanga katika mashirika yasio ya Serikali. Bw. Naibu Spika wa Muda, baada ya kumshukuru Waziri, ningependa kusema kuwa nilikuwa katika sekta hii kwa muda mrefu, na ni muhimu kutambua mchango wao katika jamii. Kama alivyozungumza msemaji mmoja aliyezungumza kabla yangu, maudhui au matilaba ya kuwa na mashirika yasio ya Serikali ni kuhakikisha kuwa utandawazi na haki imefanywa katika jamii nyingi za nchi hii. Katika kuunga mkono mashirika yasio ya Serikali, ningependa ... view
  • 12 Jul 2006 in National Assembly: asked the Minister for Finance:- (a) how much money was returned to the Treasury by various Government departments in the fiscal year 2004/2005 from Tana River District's allocation; (b) what reasons were given for not utilizing those funds; and, (c) what measures have been taken to ensure that such funds are utilized efficiently and effectively in future. view
  • 12 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, to return Kshs9 million from a poor district like Tana River--- The Government is giving by the right hand, delaying the AIEs and withdrawing the same money by the left hand. Is that not political marginalisation? view
  • 12 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, the Ministry of Health returned Kshs5 million; money that is badly needed by the people of Tana River. What specific policy measure will the Ministry put in place to avoid repetition of a similar mistake? view
  • 11 Jul 2006 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeniwezesha kusimama hapa kuchangia Hoja iliyo mbele yetu. Sehemu ninayowakilisha hapa Bungeni ya Bura iko na kata 12, kata dogo 25 na tarafa tatu. Kati ya kata 12, inne ambazo ziko karibu na barabara ziko na kambi ya chifu, Mkuu wa Tarafa (DO) na zinaendelea vizuri. Kata nane hazina hata askari mmoja. Chifu peke yake ndiyo yuko huko. Niliuliza Swali katika Bunge hili na nikamjulisha Waziri anayehusika kwamba kata nane za Bura hazina hata bendera ya taifa. Hivyo basi, mtoto ambaye alizaliwa 1991 hajawahi kuona bendera ya Kenya. ... view
  • 11 Jul 2006 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunilinda. Capt. Nakitare hana makosa, aliishi sana Amerika! view
  • 11 Jul 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, iwapo kuishi katika nchi ya Amerika ni makosa, basi mwenzangu anisamehe. view
  • 11 Jul 2006 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kuniongezea muda wa dakika nusu. Polisi wa ziada katika Wilaya ya Garissa wana bunduki za rasharasha lakini wale wa Wilaya ya Tana River wana zile bunduki zinazojulikana kwa jina maarufu kama "ngoja kidogo"; moja mbele, unasubiri nusu saa kisha unafyatua ya pili. Tunaomba bunduki hizi zisawazishwe katika wilaya hizo mbili. Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninaunga Hoja hii mkono. view
  • 5 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, how will branding help in case the raiders are from across the border? view
  • 6 Jun 2006 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I beg to give Notice of the following Motion:- THAT, in view of the fact that agriculture remains the backbone of the Kenyan economy; and that the livestock subsector contributes about 13 per cent of the Gross Domestic Product; aware that following the donor-led Structural Adjustment Programme in the late 1980s, the Government stopped employing trained field extension officers; further aware that the country boasts of 6,000 trained but jobless animal technicians; noting with concern that the Government is unable to provide the livestock farmers in ASAL areas which hold over 80 per cent of the livestock ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus