James Gichuhi Mwangi

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 31 to 36 of 36.

  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, nilisikiza vizuri Mhe. Mohamed Ali alipokuwa akichangia. Kwanza kabisa, alitambua Ibara ya 43 ya Katiba ambayo inasisitiza umuhimu wa kupata matibabu ya bure. Ibara ya 43 ya Katiba inazingatia umuhimu wa kupata matibabu ya bure. Hiyo ni haki. Ningesisitiza kwa Kamati ya Afya, kuwe na sheria ambazo zinazingatia umuhimu wa kupata matibabu ya bure katika hospitali za umma zote. Nilisoma juzi ya kwamba kaunti ya Lamu iliita madaktari kutoka Uspania ambao walikuwa wanapeana matibabu ya bure. Kwa wiki tatu, kulikuwa na watu kama 400 ambao walijitokeza ili wapate matibabu ya bure. Hiyo ni ishara ya ... view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Tunaona wakati mwingi watu wanaenda hospitali wakati wamepata maumivu kabisa ndio wanafanya mchango. Juzi nilikua na kesi ya mgonjwa fulani kutoka eneo langu la Tetu. Aligonjeka akapelekwa Hospitali ya Kenyatta halafu akaaga dunia. Alikua na ada ya Kshs800,000. Nilichanga pesa kidogo lakini maiti ilikaa kwa chumba cha kuhifadhi maiti kwa zaidi ya mwezi mmoja. Juzi tu ndio tulipata pesa na tukaweza kuzika maiti. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Uingereza ni mfano mwema wa nchi ambayo imeendelea. Wananchi wa Uingereza wanapata matibabu ya bure na kila mtu ako na dakitari wake. Najua sisi kama Wabunge tunaweza kuunda sheria. Tunaweza kuwa na sheria zitakaoifanya iwe ni lazima kila mtu apate matibabu ya bure. Tukipata matibabu ya bure idadi ya watu wanaoaga dunia itakuwa ya chini. Pia,mtu akipata matibabu ya bure na kwa bahati mbaya aage dunia, inastahili asilipe pesa yoyote hata ada ya chumba cha kuhifadhi maiti. Tukifanya hivyo, kama Wabunge, tutakuwa tunaiunga Serikali mkono. Tutakua tumesaidia wananchi ambao wametuchagua. Jambo muhimu ni kuwa na afya njema. Ndiposa imeekwa kwa ... view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Kwa hivyo, mimi ni mmoja wa wale wanaunga mkono Hoja ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali zote za umma. Tukifanya hivyo, tutaona ya kwamba Kenya yetu itaendelea vizuri. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Kwa hayo machache, naunga mkono. Asante. view
  • 9 Oct 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity to contribute to this particular Report. Firstly, I would also say that I have not had an opportunity to peruse through the Report, but note that the most important thing is the creation of Pan-African Parliament. The main important reason for its creation was to ensure that African nations are fully represented and fully involved in economic development and integration of the continent. There was a protocol that was to be signed and ratified by member states. First of all, I am not very sure whether our country has signed that ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus