Lydia Haika Mnene Mizighi

Parties & Coalitions

Email

hycalydy@gmail.com

Telephone

0721452391

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 80.

  • 30 Jun 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 16 Jun 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me an opportunity to add my voice to the County Allocation of Revenue Bill (Senate Bill No.30 of 2021). I support this Bill because it is going to make sure that there will be revenue in our counties and, therefore, smooth running of businesses. As many Members have spoken here, there are challenges. We have seen people suffer. The majority of the sufferers are people who have been doing business with the county governments. They are suffering because of pending bills. People have died because of high blood pressure. People took loans ... view
  • 16 Jun 2021 in National Assembly: governments, but as of now, people’s properties are being auctioned because county governments have not paid them. This is a very sad state of affair. As we discuss this Bill, it is my wish that we help to solve this problem. view
  • 16 Jun 2021 in National Assembly: I also want to talk about the recurrent expenditure. In most counties, this expenditure is huge. As much as the expenditure is huge, the complaints are also many. Most of the employees in the counties have not been paid their salaries. A majority of them are suffering. They have been kicked out of their homes because they are not able to pay rent. They are not even able to pay their children’s school fees. We have seen many people suffer at the counties contrary to what we believed that devolution would do. As I conclude, because a lot has already ... view
  • 16 Jun 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for the opportunity. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Asante Mheshimiwa Spika kwa kunipa fursa hii. Nataka kuchukua fursa hii kumshukuru Mheshimiwa Jessica. Kwa kweli, jambo hili la wanyamapori limekuwa kero kwetu sisi tukiwa pale Taita Taveta. Mbuga ile ya wanyama ya Tsavo imewapatia watu wetu changamoto kwasababu ya kuuliwa na wanyama, mashamba kuharibiwa na mifugo kuliwa na wanyama. Ni wakati kweli jambo hili liweze kuchukuliwa kwa dharura na tupate suluhisho. Maswala haya tumeyaongelea sana hapa Mheshimiwa Spika na ni wakati sasa tunataka kuona ya kwamba tumesaidika. Asante kwa kunipa hii fursa na namuunga mkono. view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninakushukuru kwa kunipatia hii fursa ili nichangie Hoja hii kuhusu Hotuba ya Rais wa Muungano Tanzania. Ninatangulia kwa kumshukuru Rais wetu kwa kumpa mwaliko Mama Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani. Pia, nampongeza Mama Suluhu kwa kukubali mwaliko huo na kuifanya Kenya nchi yake ya kwanza kuzuru rasmi akiwa kama Rais. Leo hii, tunamshukuru. Hotuba ya Mama Rais Suluhu ilikuwa ya kufana sana. Nilivutiwa na hekima yake. Pia nilipendezwa na umakini wake kila alipokuwa akijieleza. Nilifurahishwa na jinsi alivyotilia mkazo jambo la umoja na undugu wetu, haswa aliposema kuwa hili ni jambo ambalo ... view
  • 13 May 2021 in National Assembly: Watanzania na Wakenya waliishi kama ndugu. Nilifurahi kuona kwamba anataka kufufua uhusiano wetu wa tangu mwanzoni. Ndugu ni kufaana sio kufanana. Nchi za Kenya na Tanzania, na haswa Gatuzi la Taita Taveta, Eneo Bunge la Taveta, ni jirani wa Tanzania na tumekuwa tukifaana na ndugu zetu wa Tanzania kwa mambo mengi sana... view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Mhe. Spika. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Mhe. Spika, wakati unang’ang’ana kumuamsha Mhe. Sunkuyia, labda uangalie watu wote kama wamepiga kura haswa wale wamekua macho, kabla hawajalala. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus