Mwalimu Masoud Mwahima

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

mwalimumwahima@yahoo.com

Telephone

0712394139

Mwalimu Masoud Mwahima

Mwahima sat for his Kenya Secondary Certificate of Education in the year 2000 after serving for a considerable period of time as Shika adabu Councillor

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 16.

  • 12 Aug 2014 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I stand in accordance with Standing Order No.44(2)(c) to request the Chairman of the Departmental Committee on Lands to provide details of documents for Plot No.IMS/272, Main Land South, held by Mr. L.L. Brown and Mr. G.L. Brown under a leasehold for 99 years from 1st January, 1914. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 12 Aug 2014 in National Assembly: I do not have an Order Paper right now; I have this one. Hon. Deputy Speaker: You cannot read what is not on the Order Paper. The Chairman of the Departmental Committee on Lands can now explain because he has the Order Paper. Members of the Committee on Lands, you can see that your docket is becoming very popular. You will be very busy. Where is the Chairman of the Committee on Lands? view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, nimeshukuru sana kwa kunipa nafasi niichangie Hoja hii. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Kwanza, ninataka kuwashukuru Rais wa nchi hii, na Waziri Mkuu, Bw. Raila Odinga. Viongozi hao wamekaa pamoja na kutuweka sisi, Wabunge wa Bunge la Kumi, kwa makini sana. Ninataka kuwalaumu wachochezi walioko kwenya Bunge hili, ambao wamewapeleka vibaya viongozi hao. Bunge la Kumi limechangia pakubwa. Tumekaa vizuri kama ndugu. Hata sura zetu zinafanana na tunafanya kazi pamoja. Zile “chuchuchu” ndogo ndogo ndizo zinazotaka kutuharibia Serikali. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, sisi, kama watu wa Pwani, tulikuwa na malalamiko kuhusu bandari. Rais na Waziri Mkuu wako tayari kukubaliana nasi lakini wachochezi wenye tamaa wanajaribu kutuharibia. Katika Bunge hili la Kumi hatufai kuwa na hali kama hiyo. Katika mwaka wa 2008, tulikuwa katika shida kubwa sana, mpaka Mumarekani akaja kutupatanisha. Kwa vile sisi ni ndugu, tukapatana lakini tulipoanza siasa za uchaguzi wa mwaka wa 2012, fitina na uchochezi mwingi zikaanza. Sasa hatuna mwelekeo wowote. Hakuna njia ya maana. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Ningependa kuomba kwamba, sisi, Wabunge ambao tumechaguliwa kutoka sehemu mbalimbali, tushikane tufanye kazi pamoja tukijua kwamba wakati wa uchaguzi utakapofika tunaweza kurudi Bungeni ama tusirudi, lakini tuhakikishe kwamba tumeiweka Kenya vizuri. Hivi majuzi, tulikuwa na shida ya uteuzi wa maafisa wakuu wa umma. Tukavutana mpaka sasa tumefikia mahali ambapo shughuli hiyo inaendelea vizuri. Bw. Naibu wa Spika, langu ni kusisitiza kwamba sisi, tukiwa Wabunge, tufanye kazi na watu vizuri ili tuweze kuwa na Serikali nzuri. Itakuwa aibu kubwa kwetu sisi viongozi tuliochaguliwa kama tutashindwa na uongozi, kama kwingineko Barani Afrika. Viongozi kule Misri wameshindwa na uongozi licha ya kwamba wao ... view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Ninaiunga mkono Hoja hii ili turudi tukafanye kazi nyumbani. Kuna Mawaziri ambao wanakazi wanazostahili kufanya. Tunataka kurudi makwetu tukaone wamefanya nini. Masuala ya usajili wa watu na ulinzi, yamezungumziwa. Kwa hivyo, ni muhimu turudi makwetu tukaone kazi hizo zinafanyika namna gani. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, ninajua kwamba Wabunge wengi wanataka kuchangia Hoja hii, lakini ninawasihi wanisikize kidogo kwa sababu sijawahi kuchangia Hoja kama hii mbeleni. Ningependa kuichangia Hoja hii kwa sababu ningependa tutakapoondoka hapa twende tukakae pamoja tuzungumzie masuala muhimu ili tusuluhishe matatizo madogo madogo yanayoleta uhasama miongoni mwetu. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, nikimaliza mchango wangu, ningependa kukufahamishwa kwamba sisi, wakazi wa Pwani, hatukubaliani na mpango wa Serikali wa kuibinafsisha bandari. Hata tukiambiwa kwamba tutachinjwa tusipouachilia msimamo huo, hatutakubali. Ni afadhali tuchinjwe sote, lakini bandari haitauzwa. Ujumbe huo upelekwe kwote mahali popote pale, hata ikiwa Ulaya; lakini bandari haiuzwi. view
  • 2 Mar 2011 in National Assembly: Ahsante. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus