Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 1513.

  • 27 Apr 2022 in National Assembly: Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili nitoe risala za rambirambi kutoka kwangu, jamii yangu, na Eneo Bunge la Taveta kwa ujumla. Rais wetu wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwai Kibaki, alikuwa si Rais tu, bali pia baba mpendwa wa watu, mpenda maskini na wa kuhakikisha kuwa maskini wameinuliwa juu. Nilipata fursa ya kufanya kazi naye kwa ukaribu. Hata nilipokuwa katika upinzani, kila mara alipenda kusikiza na kututatulia shida zetu za Taveta. Vilevile, niliporudi awamu ya pili, tulifanya kazi naye akiwa Rais wangu. Vilevile, alinipa nafasi ya kuwa katika Baraza lake la Mawaziri. view

  • 27 Apr 2022 in National Assembly: Mhe. Spika, Baba huyu wa taifa alikuwa mpenda watu. Hakuwa mwingi wa maneno, bali mwingi wa vitendo. Alikuwa anataka kusikia Wakenya wanapata faida gani, na ulipotaka kumweleza chochote, ungemweleza Wakenya wangefaidika kivipi mwanzo. Rais Mwai Kibaki alikuwa na upendo kwa watu wake, na alikuja na njia tofauti sana ya kufanya kazi, ambayo nilitoa shukrani kwake kwayo. Nikikumbuka, baada ya vita na matatizo tuliyokuwa nayo baada ya uchaguzi wa 2007, alisimama kidete na kuhakikisha ya kuwa Wakenya--- view

  • 13 Apr 2022 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga wenzangu mkono ya kwamba wakati huu kila kitu ulimwengu kwote kinafanywa kupitia mitandao ya teknolojia. Wakenya tunajiunga na wengine ulimwenguni ili kufanya mambo kwa mtindo wa kisasa. Ni dhahiri kuwa ulimwengu mzima sasa umekuwa kijiji kimoja. Kwa vile umekuwa kijiji kimoja, pia sisi Wakenya tunajiunga na wenzetu ili tuwe kijijini mle na tuweze kufanya shughuli zetu tukipitia dirisha hili la teknoloji ili tuwe na mitindo ya kisasa. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 30 Mar 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also add my voice in congratulating my brother Benjamin Jomo Washiali for a job well-done. This Insurance Professionals Registration Bill is long overdue. We want to see sanity in that sector. We want to see hygiene in that sector. We want to see neatness in that sector. Hon. Temporary Deputy Speaker, most Kenyans did not at first know the meaning of insurance. Today, with the world being a global village, everything has to do with insurance. Kenyans are actually embracing insurance. They have learned the importance of having ... view
  • 13 Oct 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker for giving me this opportunity to also add my voice to Sessional Paper No. 1 of 2021 on the National Water Policy. I just want to point out that water is life. By having a policy such as this, the Government would have had one of the most important steps towards realizing our goal. If water is life, then it means most of the diseases that Kenyans are suffering from are as a result of not getting clean water. Most of our people access whatever form of water and because of the long distances they have ... view
  • 13 Oct 2021 in National Assembly: development projects which will empower women in our country. It is not good enough to look at water as just one bit and leave out the rest. Like I said, there is a connection between water and life, water and health, water and agriculture and water and livestock. All those things rely on water for their survival including human life. Most of Tsavo National Park is in Taita Taveta County. The biggest problem we have is lack of water. Most of the human wildlife conflict there is because wild animals cannot access water so they come out to look for ... view
  • 6 Oct 2021 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii pia niunge mkono na haswa kusifu kazi nzuri ambayo imefanyika. Mkataba huu hakika ni wa kuendeleza usafiri haswa kwa vyakula vyetu, maua na haswa kuboresha hali ya uchumi wa ukulima hapa Nchini. view
  • 6 Oct 2021 in National Assembly: Kutoka hapa kuelekea Marekani ni mbali na kwa sababu ni mbali, mimea au vyakula vinavyopatikana ama maua yanayovunwa hapa Kenya yanajulikana ulimwengu mzima lakini usafiri kweka Marekani ni shida kwa wakulima ambao wanashgulika na kilimo biashara kupata haki ya jasho lao na haswa kwa sababu sekta hiyo inaandika wafanyikazi wengi hapa nchini. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus