Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 181 to 192 of 192.

  • 28 May 2013 in National Assembly: Bi. Naibu wa Spika, ninakushukuru sana kwa kunipa nafasi hii. Ninaiunga mkono Hoja hii kwa sababu ni ya muhimu sana. Nimesikia kuna mtu ambaye aliandikia Bunge barua kuhusu suala la IDPs. Kuhusu suala hili, ningependa kusema kwamba nimeshughulika sana na masuala ya IDPs. Ninathibitisha kwamba kama kuna mtu ambaye aliwasadia sana IDPs, kwa kuwapa makao; ni Bw. Kimemia. Mimi na mkazi wa Nakuru,na ninajua shida tulizokuwa nazo kuhusu IDPs lakini Bw. Kimemia alisaidia sana kwa kusikiliza maoni na hata kwenda kuangalia maslahi ya IDPS walipokuwa wakipewa makao. Kwa hivyo, ninaomba, kwa sababu tumelizungumzia jambo hili kwa kirefu: Sisi sote tuko ... view
  • 16 May 2013 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, nakushukuru sana kwa kunipatia nafasi hii. Imekuwa kazi ngumu sana. Niliomba kura kwa wiki tatu na nikapata kura 50,000. Lakini view
  • 2 May 2013 in National Assembly: Ahsante sana, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa nafasi hii. Naunga mkono hoja hii inayohusu masuala ya usalama. Ni jambo la huzuni kuona mambo yaliyofanyika huko Bungoma. Vile vile, ni jambo la aibu kuona kwamba sisi Wakenya tunauana wenyewe. Haifai hata kidogo. Inatupasa kuangalia hili jambo kwa njia nyingi. Tusilaumiane. Sisi kama Wabunge sharti tuangalie jambo hili kwa makini. Rais alisema kwamba atahakikisha kwamba kuna askari mmoja kwa raia 450. Nisingesema tunamlaumu Rais wetu kwa sababu kuna mpangilio wa mambo. Ukisema utaoa si kwamba utamaliza kufanya mambo yote. Huwa kuna utaratibu. Kusema kwamba askari wataajiriwa, lazima pawepo na bajeti ambayo ... view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: Mhe. Spika, jina langu ni Onesmas Kimani Ngunjiri kutoka sehemu ya uwakilishi ya Bahati. Kwanza, ningependa kuwashukuru wakazi wa Bahati kwa kunichagua na kuweka rekodi. Kutoka mwaka wa 1963, Mbunge aliyechaguliwa kwa kura nyingi zaidi katika eneo Bunge hilo ni mimi, Kimani Ngunjiri. Kwa hivyo, ninawashukuru sana watu wa Bahati. Pia ningependa kukupongeza, mhe. Spika, kwa kuteuliwa kuwa Spika wetu. Pili, ningependa kuichangia Hoja tunayoizungumzia leo kuhusu Hotuba ya Rais wetu. Mara nyingi, ndoto humsumbua mwenye kuota lakini siyo mwenye kutafsiriwa. Rais wetu anajua anachozungumzia. Sidhani kama kuna rais aliyechaguliwa na kura view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: On a point of information, hon. Deputy Speaker. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: On a point of information, hon. Deputy Speaker. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, the information I want to give him is that maybe the hon. Member does not understand that it is not a must that electricity should be used to operate laptops. We have solar energy. So, even if the children are under trees there is solar energy from the sun. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: It is good, hon. Deputy Speaker because we come from Nakuru County and it seems we are not known by our names. I am Onesmus Kimani Ngunjiri from Bahati Constituency. This is in Nakuru County, but it is not known by new hon. Members. It is good to know the people of Nakuru County. We want to talk but not like the people who were there before. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I have spoken. I am Onesmus Kimani Ngunjiri from Bahati Constituency. view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I have spoken. I am Onesmus Kimani Ngunjiri from Bahati Constituency. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus