All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 140.

  • 29 Apr 2015 in National Assembly: wetu wote wakifaulu katika shule za msingi na shule za upili. Ukisoma bila kufanya mtihani wa kitaifa, hakuna mahali popote ambapo utaelekea. Kwa hivyo, ni jambo nzuri sana tunapoona kuwa zile senti za kulipia mitihani ya kitaifa zitatolewa kabisa katika shule zetu. Utapata watoto wengi sana wamemaliza shule lakini hawawezi kupata vyeti vyao ili waweze kujiendeleza kimaisha. Waheshimiwa wenzangu, mtakubaliana nami kuwa kuna watoto wengi sana, ambao wemekaa nyumbani kwa sababu hawakuweza kulipa pesa za mtihani wa kitaifa walipokuwa shuleni. Kwa hivyo, tukiondoa pesa hizi za kulipia mtihani wa kitaifa, tutakuwa tumesaidia nyumba nyingi sana katika nchi yetu ya Kenya. ... view
  • 28 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Chairman. I actually wanted to contribute on Clause 33. I believe that by having regulations in Clause 36, it will be of importance as we are looking at this procurement Bill. I support the amendments. view
  • 28 Apr 2015 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Chairman. view
  • 28 Apr 2015 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Chairman. I stand to be guided on Clause 47. We have a New Clause 47A which has been skipped. view
  • 25 Mar 2015 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Namuunga mkono mwenzangu Mhe. Joyce Lay kwa kuileta Hoja hii siku ya leo ili tuweze kuijadili hapa Bungeni. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 25 Mar 2015 in National Assembly: Kwa kweli, litakuwa jambo la maana kabisa kama lugha ya Kiswahili itaenea kote kote katika nchi yetu ya Kenya. Tunapoingia shuleni, tunaanza kusoma Kiingereza na Kiswahili na tunaendelea vizuri. Lakini tukifika mahali fulani, hatuelewi kabisa Kiswahili kinapotelea wapi. Ukifika pale mbele katika ofisi zetu, hauoni tena Kiswahili. Tunaendelea kuongea lugha ya Kiingereza. Kwa kweli, kuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kufanya tukitumia lugha yetu ya Kiswahili. Hasa tukiangalia zile kandarasi ambazo kina mama, vijana na wale hawajiwezi wanapewa, ziko katika lugha ya Kiingereza. Unashindwa kabisa kuwa wale ambao hawaelewi Kiingereza, watatumia lugha gani ili waweze kuzipata zile kandarasi. Bali na ... view
  • 24 Feb 2015 in National Assembly: Thank you, Temporary Deputy Speaker. I stand to support this Bill. It is a rich Bill. I will just touch on a few issues. This Bill will really help the suppliers and the contractors in this country especially once we come up with the regulations of how to regulate this Bill through the Public Procurement Regulatory Authority because everything will be streamlined. It will also help us to know what is supposed to be disposed. It will also come up with a way of how to investigate and a board that will be listening to those who have complaints from ... view
  • 24 Feb 2015 in National Assembly: When it comes to foreign contractors, I was looking at it that maybe before we give a contract to a foreigner, he or she will need to partner with a local contractor or supplier so that Kenyans can also benefit from this. With those short remarks, I say thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I support this Bill. view
  • 19 Nov 2014 in National Assembly: Asante sana, Bw. Spika. Kwa niaba yangu binafsi na jamii yangu na watu wote wa Kakamega tungependa kutuma rambirambi zetu kwa jamaa ya Senator Kajwang’ ambaye ametuwacha. Ni jambo la kuhuzunisha sana. Tumempoteza mwanasiasa aliyekuwa shujaa katika nchi hii yetu ya Kenya. Nilimfanyia kazi wakati nilikuwa chuoni akiwa National Housing Corporation (NHC). Kwa hivyo, ni pengo kubwa ambalo tumepata na itakuwa ngumu sana sisi kama Wakenya kulijaza. Katika hali ya kuomboleza, tunasema poleni sana watu wa Homa Bay. Mungu awabariki wakati huu mnapoomboleza. Asante sana, Bw. Spika. view
  • 22 Oct 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to support this Motion. Much has been said about Kenya Airways Limited, more so when The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus