Rashid Juma Bedzimba

Parties & Coalitions

Email

bedzimbar@yahoo.com

Telephone

0720679612

Telephone

0733679612

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 62.

  • 1 Sep 2016 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 1 Sep 2016 in National Assembly: Kwa sasa, nimesema ninakubaliana ikiwa taratibu zitafuatwa. Wakienda kinyume, nimeikataa hiyo otomatiki juu kwa juu. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ya dakika moja ambayo nimepewa na Mhe. Mwadime. Pia, ninataka kuipongeza Hoja hii. Jambo la kuwa na maji shuleni ni muhimu sana kwa sababu shule haiwezi kuendelea kama haina maji. Maji mengi hutumika katika sehemu za kujisaidia. Kama hakuna maji basi hizo sehemu hazitumiki. view
  • 3 Aug 2016 in National Assembly: Shule za msingi ziko chini ya Serikali kuu. Kwa hivyo, wakipewa maji, ni vyema fedha za kulipa bili zitengwe, ili shule zisipate matatizo. Suala la maji ni muhimu sana. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda. Nimesimama kukubaliana na mabadaliko kama yalivyofanywa kwa Ibara 25 kwamba neno “ national ” libadilishwe na “ public ”. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: Mheshimwa Naibu Mwenyekiti wa Muda, nimesimama kuunga mkono mabadiliko haya kusudi yafuatane na yale yote ya awali yaliyokuwa na mabadiliko. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: THAT, Clause 64 of the Bill be amended in Sub-section (3) by deleting the words “section 39(2)” appearing immediately before the words “provisions of” and substituting therefor the words “section 61”. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this Motion. I stand to support this Motion on the grounds that this is a negotiated agreement which will help the countries concerned. The agreement will be of great benefit to our national carrier Kenya Airways. view
  • 2 Aug 2016 in National Assembly: I stand here to support this Motion. Thank you. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus