Kazungu Kambi

Full name

Samuel Kazungu Kambi

Born

12th February 1962

Post

P. O. Box 42710-00100 Nairobi

Email

kazungu@rivolis.co.ke

Telephone

0722675675

All parliamentary appearances

Entries 671 to 675 of 675.

  • 18 Jun 2008 in National Assembly: Asante sana Madam Naibu Spika wa Muda kwa kunipa wakati huu ili kuwa mmoja wa wale wanaoiunga mkono Hoja hii. view
  • 8 May 2008 in National Assembly: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Could the Assistant Minister tell this House why it is so expensive to buy a litre of petrol in Nairobi as opposed to buying a litre of petrol in Eldoret, and yet the pipeline passes through Nairobi? view
  • 8 May 2008 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, that question is supposed to be answered by the Ministry for Energy. He is an Assistant Minister from that Ministry. So, he should answer the question instead of telling the House that we should wait until next Tuesday! view
  • 19 Mar 2008 in National Assembly: Bw. Spika, asante sana kwa kuangaza macho yako yenye adili na kunitambua nizungumze katika Bunge hili. Nakushukuru sana kwa kuchaguliwa kwako kuwa Spika wetu. Ningependa pia kuwashukuru watu wa Kaloleni kwa kunipiga kura kwa wingi. Bw. Spika, nataka kujiunga na waheshimiwa Wabunge kupongeza Hotuba ya Rais. Nataka kuwashukuru watu wote waliohusika na mazungumzo ya kuleta amani hapa nchini wakati nchi yetu ilikuwaimeshika moto. Waliacha kazi zao ili watusaidie kutokana na janga hilo. Ninawaombea maisha marefu. Bw. Spika, kwa wale ambao hawanijui, mimi ni Mbunge wa Kaloleni. Eneo hili la Kaloleni ndilo masikini zaidi hapa nchini. Kulinga na historia, elimu ilianza ... view
  • 19 Mar 2008 in National Assembly: Samahani, Bwana Spika. Ninaitwa mhe. Samuel Kazungu Kambi. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus