Samuel Moroto

Parties & Coalitions

Full name

Samuel Chumel Moroto

Born

1960

Email

losumamoroto@yahoo.com

Telephone

0733402829

Telephone

0722883454

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 286.

  • 30 Jun 2020 in National Assembly: Wakati Wakenya waliamua kuwa na ugatuzi, walikua na lengo kubwa sana kwa sababu hapo awali, mambo mengi yalikuwa yanabaki hapa juu. Sessional Paper No.10 of 1965, iligawa nchi na kuacha watu wa sehemu kame waumie sana. view
  • 30 Jun 2020 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Jun 2020 in National Assembly: Ahsante. Kumekua na mateso. Wakati mmoja, Kshs3 millioni peke yake ililetwa West Pokot kwa jumla – na sio Kapenguria peke yake - itumike kwa miradi ya maji ukifahamu vile eneo hilo lilikuwa. Lakina kuna sehemu nyingine watu walikuwa wanafurahia hata wengine hawakujua mahali pa kutumia pesa walizotengewa. Lakini sehemu ambazo zilikuwa na mahitaji zilikuwa zinanyimwa pesa. view
  • 30 Jun 2020 in National Assembly: Vile tuko na ugatuzi, Mswada huu utasaidia uongozi wa kaunti. Najua ya kwamba itasukuma na kuelekeza matakwa ya wananchi pale mashinani ili waanze kufaidika. Kama vile mmoja wetu alisema, kuna eneo ambalo jamii mbalimbali wanaishi kama Kapenguria. Wanaifanya sehemu hiyo kuwa cosmopolitan . Ni sehemu ambayo kila aina ya jamii inapatikana. Wakati wa kampeni, ukijihusisha na jamii fulani, watu wengine watakunyima kura. Hali hiyo huchangia kuwatenganisha Wakenya wanaoisha katika sehemu kama hizo. Kuna mahali watu wawili walikuwa wanang’ang’ania kiti cha ugavana. Yule aliyetangulia kwa uchaguzi huo alikua amekamilisha kipindi chake cha kwanza na mwingini akawa anampinga kwenye uchaguzi. Ikawa huyu ... view
  • 30 Jun 2020 in National Assembly: Wengine wetu tumekuwa hapa kwa muda mrefu. Nimeona ile michango ambayo watu wanatia hapa. Mimi ni mtu wa chama cha “baba” na “mama” tangu mwanzo. Lakini hivi juzi, nikajiunga na chama cha Jubilee. Kuna wale waliokuwa wakipiga kelele lakini, ambao sasa wameingia na wakaambiwa waonje supu peke yake – hata hawajakula ugali – lakini wameanza kupiga domo kubwa. Tutararua na kufunga midomo yenu. Wakenya wanaangalia. Tumesema kwamba siasa ya kuwagawanya wananchi ikomemeshwe. Wacha tuje pamoja tuipeleke Kenya mbele pamoja. Sasa mmeingia na kuanza kuleta mchezo. view
  • 30 Jun 2020 in National Assembly: Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. view
  • 16 Jun 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. As a Member of this Committee, I want to thank my Chairman, Hon. Ichung’wah and the entire membership of the Committee. I also want to thank the whole House for what they have done and the Speaker for the way you have guided the House. I second. view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Speaker. I also take this chance to pass my condolences, those of my family, Kapenguria Constituency and the entire West Pokot to the family of the late former President Moi. I want to say that I was lucky enough because when I came to Parliament, he appointed me to his office as assistant minister. He related so well with people. State House was open to Members of Parliament. It is because he knew that MPs are the representatives of the people. No one was denied to go there and talk to him. When he was ... view
  • 26 Nov 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No.43, I seek leave of the House for the purpose of discussing the landslide disaster in West The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Nov 2019 in National Assembly: Pokot County and, in particular, Sigor and Pokot South Constituencies and other parts of the county. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus