Simon Nganga Kingara

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 175.

  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Upinzani na sisi katika upande huu mwingine tunaongea kwa lugha moja kuhusu maendeleo, basi mimi naona hata hii hospitali itajengwa haraka hata kuliko anavyotarajia ndugu yangu. Hilo likifanyika, basi litakuwa limeambatana na zile ajenda nne zilizopendekezwa na kiongozi wetu wa Jubilee, Uhuru Kenyatta. Sitasahau kuwakumbusha kwamba hata katika zile hospitali chache za rufaa tulizonazo, vifaa vya matibabu havipo. Ndiyo maana unaona watu wengi bado wanaenda ng’ambo. Hata kama tutachangia na kujenga hospitali za rufaa, itabidi sisi Wabunge tutenge fedha zitakazotumiwa katika utafiti wa magonjwa hasa yale yanayotuathiri. Kenya ni nchi ambayo imeendelea kama mnavyojua. Sijui ni nini twakosa hata tukashindwa ... view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Unajua huu ni wakati wa kutafuta uwiano, ndiyo maana unaona watu wanazungumza hapa na pale. Nasimama kuunga mkono hili jina la Prof. Hamadi Iddi Boga. Kulingana na matokeo ya kamati yetu teule ya Bunge tuliona ni mtu ambaye amesoma na kutembea maeneo mbalimbali. Hapa Kenya, kuna ukosefu wa utafiti katika kilimo. Kwa hivyo, tukipata mtu ambaye atatuelekeza kwa utafiti mwafaka, naona maendeleo na kilimo kitakuwa cha hali ya juu. Sisi Wakenya tunajigamba kuwa wakulima lakini hatuna chakula cha kutosha. Nchi yetu inaagiza chakula kingi sana kutoka nchi nyingine ilhali tuko na ardhi ya kutosha. Umuhimu ... view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: vikuu mbalimbali kama alivyoieleza kamati yetu ya Bunge. Vile vile, ombi langu ni sisi Wabunge kutoka upande wa Serikali na upande wa Upinzani tumuunge mkono na tumsaidie wakati ako mashinani akifanya utafiti. Akija eneo lolote lile, tumsaidie ili aweze kuleta utafiti ulio na mwelekeo mwema. Ninajua kwamba Kenya itakomaa katika sekta ya kilimo na maendeleo. Kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii. view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. Before I give notice of the Motion, please, this issue of some names not being around is taking us behind. I wish Hon. Mbadi who is very able just brings these three names. Since we came here as first-timers, we have been hearing of names not coming. Please, let the names come. Thank you, Hon. Deputy Speaker view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: I beg to give notice of the following Motion: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 21 Feb 2018 in National Assembly: THAT, aware that Article 37 of the Constitution guarantees every person the right, peaceably and unarmed, to assemble, to demonstrate, to picket, and to present petitions to public authorities; noting that there is need to guarantee that the enjoyment of rights and fundamental freedoms by any individual should not prejudice the rights and fundamental freedoms of others; noting that demonstrations and picketing in cities and major towns in the country, particularly in Nairobi, Mombasa and Kisumu have on many occasions resulted in destructions, loss of lives and property, public disorder and creation of an unfavourable business environment; noting that the ... view
  • 6 Dec 2017 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to give notice of the following Motion: THAT, aware that Article 37 of the Constitution guarantees every person the right, peaceably and unarmed, to assemble, demonstrate, picket and present petitions to public authorities; noting that there is need to guarantee that the enjoyment of rights and fundamental freedoms by any individual should not prejudice the rights and fundamental freedoms of others; noting that demonstrations and picketing in cities and major towns in the country, particularly in Nairobi, Mombasa and Kisumu have on many occasions resulted in destruction, loss of live and property, public disorder ... view
  • 5 Dec 2017 in National Assembly: Asante sana Bw. Spika, kwa kunitambua katika kikao hiki. La kwanza kabisa ni kuwashukuru Wabunge wote, haswa Wabunge wa upande wa Upinzani, kwa kukubali kuja tufanye kazi ile tuliyopewa na wananchi. Katika Kenya yetu, tumeendelea sana. Mambo ya usajili, utoaji na usimamizi wa utangazaji ni vizuri uwekwe laini. Kama munavyojua, nchi zilizoendelea zimepiga hatua kubwa na kuweka viwango vya juu sana ndiyo wasajili wasije wakaigwa na wengine ambao hawajachoka. Kenya ni nchi ambayo imeendelea na ina demokrasia. Vilevile, Wakenya wanataka kula jasho lao. Ni vizuri tutafute mikakati mwafaka na ya uzito tutakayoiga. Hii ni ili tuone waliotumia vipawa vyao na ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa jicho lako zuri lililoniona na kunipatia fursa hii. Kabla sijaongea lolote, ningekuomba unipatie fursa niweze kuomboleza na jamaa na marafiki wa Daktari Gakuru, ambaye alikuwa rafiki yangu. Hata alinialika nihudhurie sherehe za Mashujaa Day kule Nyeri. Tulikuwa na yeye kule Nyeri na tukaongea mengi kuhusu maendeleo ya Kenya yetu tunayoipenda. Jamaa wa Ruiru wote wanaomboleza na familia yake pahali popote walipo. Hilo ni pigo kubwa kwa nchi yetu ya Kenya. Kama watangulizi wangu walivyoongea, ni vizuri tuwaheshimu viongozi wetu wakati wanapopata majanga kama haya. Nikigusia mjadala wa leo, ningependa kusema kuwa ni ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia mwanya wa kuweza kuunga mkono mjadala huu ulio na uzito mkuu katika Kenya yetu tupendayo. Kenya inasemekana kuwa ni eneo la ukulima. Lakini ukiangalia orodha ya madini yaliyo katika Kenya yetu, ni mengi kuliko ule ukulima tunafanya. Ukianzia na theluji, petroli ambayo imepatikana juzi, dhahabu iko, titanium iko, hewa ya uwekezaji na vile vile mvuke katika eneo la Bonde la Ufa umechangia pakubwa sana kwa umeme. Ombi langu ni wakati tunajaribu kujadili na kutilia uzito mikakati hii mwafaka itakayotumika katika Kenya yetu mpya, ni vizuri vile vile tuzingatie uzito wa uchimbaji ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus