Vincent Kipkurui Tuwei

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 171 to 180 of 185.

  • 7 Nov 2017 in National Assembly: ( Off record ). view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuchangia wazo hili ambalo linahusiana na ulipaji wa wakulima wa miwa katika viwanda vyetu. Jambo hili linashangaza sana. Ukulima umekuwa ni hasara. Hasara hii si kwa sababu ya mkulima, bali ni kutokana na usimamizi mbaya wa viwanda vya sukari. Viwanda ambavyo vimefungwa kwa sababu moja ama nyingine ni Miwani, Muhoroni, Ramisi, Chemilil na Nzoia. Ni sababu gani viwanda hivi vya kusaga miwa vinafungwa? Je, ni uongozi mbaya ama ni gharama kubwa ya uzalishaji wa miwa? Sababu ni nini? Serikali imekuwa ikisimama na mkulima, Miswada imewekwa Bungeni, sheria zote ... view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: ni hili: Kama wale ambao walianza mbeleni viwanda vyao vimefungwa, sababu na kisa ni nini? Vile wenzangu wamesema ni kwamba kuna ufisadi mkubwa katika wizara na usimamizi wa viwanda hivi. Jambo lingine ambalo ningependa kuongelea ni hali ya anga inayochangia katika sehemu zetu. Tunajua kwamba ulimwengu mzima hali ya anga na hali ya kutokuwa na mvua inaharibu na inachangia pia katika mazao ya mkulima; kwamba ekari moja haitaweza kutoa mazao yanayowezesha mkulima yule kupata faida. Jambo hili ni la maana. Inatubidi sisi kama Wabunge tuangalie ni nini tunahitaji kufanya. Kama ni unyunyizaji wa maji katika sehemu zile ziko na maji ... view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika kwa kunipa fursa hii nichangie Hoja hili ambayo inatushangaza kwamba tarehe 22.9.2017, watu 10 walipoteza maisha yao kwa kioja ambacho hakieleweki. Ni jambo la kushangaza kwamba kwa karne hili, sisi wote tulioko hapa kama Wakenya tunaona maisha ya binadamu yakipotezwa ovyo ovyo. Tumepoteza familia hizi kwa sababu ya kuawa kwa mfanyibiashara mmoja. Hili ni jambo la kutushangaza wote kama taifa. Kama mtu mmoja amefanya uhalifu kwa kumuua mfanyibiashara, itakuwaje jambo la kijamii? Ni jambo la kushangaza nilipowasikia Waheshimiwa wa Emurua Dikirr na Kilgoris wakiongea. Ni jukumu letu kuhakikisha kwamba sisi wote tukiwa viongozi na wafanyikazi wa ... view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: hazijasakwa? Ninaomba viongozi wote na vyombo vya usalama waajibike kwa kuona kwamba silaha haramu zilizoko miongoni mwa wananchi zimetolewe na sheria imechukuliwa kwa wakati unaofaa. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Nikimalizia, sisi pia kama viongozi tunafaa kuajibika. Sisi ndio tunatakiwa kuunda sheria zitakazodumisha amani na utengamano miongoni mwa jamii zetu. Tunafaa tuangalie shida zinazohusu wafugaji. Ni sababu gani mambo kama hayo yanatokea? Kama ni mambo ya kuimarisha utendakazi wa usalama na kitega uchumi, basi inafaa tufanye hivyo ili tuone kwamba wananchi wetu wameweza kuishi kwa amani. Kwa hayo machache, asante Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Pia, nachukua nafasi hii tena kuwapa Mhe. Ng’eno na Mhe. Konchella rambirambi zangu. view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to contribute to the debate on the approval of Ratification of the Nile Basin Cooperative Framework Agreement. I am happy and privileged, as a Member of the 12th Parliament, to contribute and ratify this Agreement emanating from a treaty signed in 1929 and 1959, which has caused harm to The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: many countries. At the outset, I thank the Chairlady of the Committee, Hon. Kajuju, for what she did; especially in liaising with all the stakeholders to have this treaty before us today. As we all know, River Nile is the longest in the world and its source is in Kenya. The environment that we are enjoying around the Mau Forest is the main source that makes it very important to us as a country. A few years ago, we had many conservators who had seen this as a major threat to the lake. We have been called upon, as Members ... view
  • 27 Sep 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 13 Sep 2017 in National Assembly: Ahsante sana Naibu Spika kwa nafasi hii. Kwanza, ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba kwa wakati huu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus