GET /api/v0.1/hansard/entries/1001070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1001070,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1001070/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Endebess, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Dr.) Robert Pukose",
    "speaker": {
        "id": 1458,
        "legal_name": "Robert Pukose",
        "slug": "robert-pukose"
    },
    "content": " Bwana Naibu wa Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Nataka kumshukuru Mwenyekiti, Mhe. Koinange, kwa yale mambo ambayo amesema. Jambo kubwa katika ugavi wa chakula tunachosema ni relief food nikuwasaidia wanaoumia. Ninataka kujiunga na mwenzangu kutoka Trans-Nzoia, Mhe. Chris Wamalwa kwamba sisi tuko na shida kwa sababu kile chakula kililetwa kule, hata tunapoongea sasa hivi, Mhe. Koinange, tunaambiwa mafuta iliibiwa - ile ilipelekwa katika Kaunti ya Trans-Nzoia. Na hadi sasa haijapatikana. Chakula cha msaada kinapotolewa, tumeweka mikakati ipi kuhakikisha kwamba hicho chakula kinafikia wale ambao wanakihitaji?"
}